SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Wahuni ni CCM iliyojigeuza genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawalaHivi ni vichekesho,ikulu mtaiiskia tu,wananchi gani wa kuungana na genge la wahuni na waigizaji?
Hivi ninyi watu hamuelewi tu kuwa CCM ni taasisi pana sana ?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app