Jeshi la Polisi limechagua kuibeba CCM. Wananchi tushikamane tutaishinda dhuruma hii

Jeshi la Polisi limechagua kuibeba CCM. Wananchi tushikamane tutaishinda dhuruma hii

Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM)

Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu

Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.

Polisi hawajitambui. Akili zao zinarandana na uduni wa vibanda wanavyoishi.
 
Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM)

Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu

Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.
CCM ni chama dola, sasa kazi ipo.
 
Hivi nikwanini vyombo vya dola Tz vinakua kama taasisi za CCM ?
Sababu ya katiba mbovu ya Nyerere hakushirikisha wananchi,ni katiba ya Nyerere na si katiba ya wananchi.Ililenga asipinduliwe adumu madarakani mda mrefu.
 
Hivi nikwanini vyombo vya dola Tz vinakua kama taasisi za CCM ?

Katiba mbovu inayompa rais madaraka yaliyo juu ya katiba na sheria. Anaishia kutumia madaraka yake kutisha taasisi zote za kimamlaka kufuata atakacho.
 
Acha kuweweseka mnatafuta huruma ya Nani? Nyie mtaitwa wapinzani mpaka kiyama,kazi yenu Ni hii kulialia kulaumu kuropoka hovyo hovyo kupinga kila kitu,mnataka Nini zaidi ya hiki? Nyumbu nyie [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Nani analia!? Ni hali halisi ambayo tumefika kama taifa, CCM haipo, wananchi wanapbana na Jesshi la polisi! Ni wakati wa kujitetea, hatuko tayari kuwa mateka wa upumbavu!
 
Hivi nikwanini vyombo vya dola Tz vinakua kama taasisi za CCM ?
Wameshafanywa watumwa wa vyeo, haiwezekani kuwa ni jeshi lenye weledi halafu wanatumikishwa na CCM kunyanyasa ndugu zao kwa namna hiyo!
 
Viongozi Wa upinzani wana uvumilivu sana, ningekuwa mi ndo kiongozi Wa upinzani kwa huu uonevu Wa polis, ningewatangazia wafuasi wangu wote kutoshirikiana na jeshi LA polis.polis wamekuwa washabiki Wa ccm badala ya kulinda usalama Wa RAIA na Mali zao.
Hapa ndiyo tunakosea! Kura ni za kwetu wananchi na viongozi tunaochagu ni kwa ajili ya kutuongoza sisi!
Kwa hiyo siyo sahihi kuwaachia viongozi wa upinzani kulinda thamani ya kura yetu!
 
Tatizo la watanzania wengi tu wanafiki
Kwa kuwa unafiki ni tabia mbaya inayotifanya tutawaliwe na madikteta tuachane nayo!
Sasa hivi bora hata wapinga CCM wana nafuu ya maisha kuliko wafia CCM!
 
Amini nawaambia wapinzani hii ndo hoja kuu ya kushikilia mwaka huu. Ni nguvu ya umma katika kulinda kura na kusimamia uhesabuji wa kura.

Hawa jamaa hawana support mnayodhani kutoka kwenye vyombo vya dola ná wananchi wakikomaa kweli vyombo vya dola vitawanawa mchana kweupe.

We fikiria kwa uonevu wa wazi dhidi ya Prof Assad, uonevu wa wazi dhidi ya yule meneja wa tarula Arusha jana, ni mtumishi gani wa umma atajitolea kuwabeba kijani mbele ya nguvu ya umma???

CCM haipo! Juzi huku mtaani bar maid walikataa kumuhudumia jamaa alikuwa amevaa nguo za CCM! Watu wamechoka, kilichobaki ni kuamua kukataa uonevu
 
Sababu ya katiba mbovu ya Nyerere hakushirikisha wananchi,ni katiba ya Nyerere na si katiba ya wananchi.Ililenga asipinduliwe adumu madarakani mda mrefu.
Dictator haujui umuhimu wa sheria na katiba ndiyo maana hata katiba mbovu tuliyonayo Magufuli haifuati! Tukimkataa katiba bora itaandikwa!
 
Rais wa Malawi baada tu ya kula kiapo cha kuiongoza Malawi, ndani ya masaa 24 aliishamtimua IGP wao! Unaona hasira hiyo!!!
 
Nilianza kupata mashaka tangu nilipomsikia kamanda Siro akiwatisha wanaosema watalinda kura zao mwezi Oktoba! Hivi katiba inatamkaje? Jambo hili lipo wazi wananchi wana haki ya kulinda kura zao hasa hiki kipindi ambacho tunashindanisha wagombea toka vyama tofauti, lakini polisi ndio huwa wanaanzisha fujo na wala si wapiga kura! Kama hata rais amewaahidi mataifa ya nje kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki basi wapiga kura nao si waachwe huru walinde na kuhesabu kura zao!?
 
Back
Top Bottom