Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM)
Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu
Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.
CCM ni chama dola, sasa kazi ipo.Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM)
Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu
Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.
Kazi zingine huwa unarogwa kwanza ndipo uajiriwe hivi wanapata moyo gani wa kuibeba Ccm Hali ccm inawafanya kuwa masikini,Polisi hawajitambui. Akili zao zinarandana na uduni wa vibanda wanavyoishi.
Sababu ya katiba mbovu ya Nyerere hakushirikisha wananchi,ni katiba ya Nyerere na si katiba ya wananchi.Ililenga asipinduliwe adumu madarakani mda mrefu.Hivi nikwanini vyombo vya dola Tz vinakua kama taasisi za CCM ?
Hivi nikwanini vyombo vya dola Tz vinakua kama taasisi za CCM ?
Nani analia!? Ni hali halisi ambayo tumefika kama taifa, CCM haipo, wananchi wanapbana na Jesshi la polisi! Ni wakati wa kujitetea, hatuko tayari kuwa mateka wa upumbavu!Acha kuweweseka mnatafuta huruma ya Nani? Nyie mtaitwa wapinzani mpaka kiyama,kazi yenu Ni hii kulialia kulaumu kuropoka hovyo hovyo kupinga kila kitu,mnataka Nini zaidi ya hiki? Nyumbu nyie [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Wewe ndiyo unayecheka, upumbavu ufike mwisho!😂😂 naona wanazengo wanajitekenya na kucheka
Hakika
Wameshafanywa watumwa wa vyeo, haiwezekani kuwa ni jeshi lenye weledi halafu wanatumikishwa na CCM kunyanyasa ndugu zao kwa namna hiyo!Hivi nikwanini vyombo vya dola Tz vinakua kama taasisi za CCM ?
Hapa ndiyo tunakosea! Kura ni za kwetu wananchi na viongozi tunaochagu ni kwa ajili ya kutuongoza sisi!Viongozi Wa upinzani wana uvumilivu sana, ningekuwa mi ndo kiongozi Wa upinzani kwa huu uonevu Wa polis, ningewatangazia wafuasi wangu wote kutoshirikiana na jeshi LA polis.polis wamekuwa washabiki Wa ccm badala ya kulinda usalama Wa RAIA na Mali zao.
Kwa kuwa unafiki ni tabia mbaya inayotifanya tutawaliwe na madikteta tuachane nayo!Tatizo la watanzania wengi tu wanafiki
Amini nawaambia wapinzani hii ndo hoja kuu ya kushikilia mwaka huu. Ni nguvu ya umma katika kulinda kura na kusimamia uhesabuji wa kura.
Hawa jamaa hawana support mnayodhani kutoka kwenye vyombo vya dola ná wananchi wakikomaa kweli vyombo vya dola vitawanawa mchana kweupe.
We fikiria kwa uonevu wa wazi dhidi ya Prof Assad, uonevu wa wazi dhidi ya yule meneja wa tarula Arusha jana, ni mtumishi gani wa umma atajitolea kuwabeba kijani mbele ya nguvu ya umma???
Akili zenu zimejaa kutu! Ikulu ikulu, utadhani kila mtu anakula na kulala ikulu!Hivi ni vichekesho,ikulu mtaiiskia tu,wananchi gani wa kuungana na genge la wahuni na waigizaji?
Hivi ninyi watu hamuelewi tu kuwa CCM ni taasisi pana sana ?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wewe kama unaona hakuna mwingine kama Magufuli mchague!Tumuondoe Magufuli tumuweke nani?
Dictator haujui umuhimu wa sheria na katiba ndiyo maana hata katiba mbovu tuliyonayo Magufuli haifuati! Tukimkataa katiba bora itaandikwa!Sababu ya katiba mbovu ya Nyerere hakushirikisha wananchi,ni katiba ya Nyerere na si katiba ya wananchi.Ililenga asipinduliwe adumu madarakani mda mrefu.
100 years to comeHata ZANU-PF na KANU nazo zilikuwa taasisi pana sana, ni suala la muda tu.