Jeshi la Polisi limechagua kuibeba CCM. Wananchi tushikamane tutaishinda dhuruma hii

Wananchi wengi wanaipenda CCM na mgombea wake wa urais. Atashinda kwa kishindo.
 
Acha kuweweseka mnatafuta huruma ya Nani? Nyie mtaitwa wapinzani mpaka kiyama,kazi yenu Ni hii kulialia kulaumu kuropoka hovyo hovyo kupinga kila kitu,mnataka Nini zaidi ya hiki? Nyumbu nyie [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Kwa lugha hii ya kishetani, nadhani hoja ziliisha wakaukia siku nyingi.
Hata kwa makaburu SA yalikuwa hivihivi walipokaribia mwisho wao.
Walikuwa wababe na maguvu ya dola makubwa mara 1000 kuliko yenu.
 
We shall overcome.
 
Kaka juzi ulisema jeshi la polisi limechoshwa kuisaidia ccm...

Usibadilike badilike sana kaka tuko nyuma yako wafuasi wako kaka tunakuaminia..
Hilo ni suala mtambuka , hawa wenye vitambi kwa maana ya viongozi wa jeshi wako ccm , jana Advera Bulimba kateuliwa huyu alikuwa msemaji wa polisi , bali wale polisi wadogo wale waliopigika hawako ccm
 
Napenda siasa za maeneo haya ,Mara,Zanzibar,Arusha,Kilimanjaro,ukonga ya Dar,pemba,Kigoma,mtwara, kawe,na watia nia wa maneo hayo na wananchi,ukizingua iwe polisi au RAIA ktk haki kulianzisha sekunde
 
Nani analia!? Ni hali halisi ambayo tumefika kama taifa, CCM haipo, wananchi wanapbana na Jesshi la polisi! Ni wakati wa kujitetea, hatuko tayari kuwa mateka wa upumbavu!
Ni Hali halisi kwa wapinga maendeleo (wapinzani uchwara)
 

UCHOCHEZI wenye busubusu la KIHAINI......

NI Uhaini kuwachonganisha wananchi na JESHI LAO LILILO KISHERIA KUTULINDA SISI NA MALI ZETU.....

NI UTOTO TU KUFIKIRI kuwa vurugu inaweza kuwa njia INAYOWEZA KUTATUA MATATIZO......

THINK THRICE.
 
UCHOCHEZI wenye busubusu la KIHAINI......

NI Uhaini kuwachonganisha wananchi na JESHI LAO LILILO KISHERIA KUTULINDA SISI NA MALI ZETU.....

NI UTOTO TU KUFIKIRI kuwa vurugu inaweza kuwa njia INAYOWEZA KUTATUA MATATIZO......

THINK THRICE.
Ni mtazamo wa jicho la makengeza kufumbia macho mambo ya hovyo yanayofanywa na Jeshi la polisi!
Inawagharimu kitu gani kusimamia haki, na watu tukaona walivyo huru kusimamia sheria!
Ukumbuke pia ulinzi na usalama jukumu la kila raia mzalendo! Ni mjinga tu anayekubali kila linalotendwa na Jeshi la polisi liko sawa!
Ukilewa madaraka unaweza kuwaita watu wahaini, mapanya nk kama Gadafi alivyofanya! Ila kila jambo lina mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…