Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, hawa wenzetu wanatumia nini ?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ?

Maandamano hayana kibali chochote labda hawa jamaa wananfanya siasa na kuna viashiria vya rushwa kama wanauwa watu hawawezi kuwa na akili timamu.

Mkusanyuko huwe na kibali ? kibali cha nini ? mkusanyiko polisi ndio aamue watu wakusanyike au wasikusanyike kama nani hata rais hana mamlaka hayo.
 
Kwa sasa jeshi la polisi sio la kukiamini hata kama unaona kuna tatizo unaweza kuwa wewe mtuhumiwa uliye leta kesi.
 
Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ?

Maandamano hayana kibali chochote labda hawa jamaa wananfanya siasa na kuna viashiria vya rushwa kama wanauwa watu hawawezi kuwa na akili timamu.

Mkusanyuko huwe na kibali ? kibali cha nini ? mkusanyiko polisi ndio aamue watu wakusanyike au wasikusanyike kama nani hata rais hana mamlaka hayo.
Hiko sio chombo cha kukiamini tena, kimeshakosa imani ya wananchi
 
Yaani wente akili ndogo wote walio wanafiki na waliojaa uovu mioyoni mwao, wamejazana huko! Usitegemee kauli yoyote ya kweli na iliyo ya maana kutoka kwa hao watu.
 
Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ?

Maandamano hayana kibali chochote labda hawa jamaa wananfanya siasa na kuna viashiria vya rushwa kama wanauwa watu hawawezi kuwa na akili timamu.

Mkusanyuko huwe na kibali ? kibali cha nini ? mkusanyiko polisi ndio aamue watu wakusanyike au wasikusanyike kama nani hata rais hana mamlaka
Kama umataka tu kuungwa mkono na hutaki watu wachangie critically jibu ni "Washindwee!"

Kama ungependa watu wajadili uhalali wa Polisi kutaka kuombwa ruhusa ya maandmano jibu ni kutokana na sheria za nchi na pia sheria ndogo za serikali huzika za mitaa, association is regulated in Tanzania.

Kwamba sheria hizo ziliwahi kupata constitutionality challenge mahakamani, jibu ni ndiyo. Je, zilishinda? Jibu ni ndiyo na hapana.

Mahakama ya Dodoma (Mtikila vs. Attorney General, 1991) kiujumla ilisema

1. Kuwajulisha Polisi (notification) kikatiba ipo sawa.

2. Kuomba ruhusa (permission) inaleta uwezekano wa kuvunja katiba (constitufionally suspect) kama hakuna vielelezo vya maamuzi ya kukataa, kwa mfano kusema sababu za kiusalama, bila kueleza kivipi. Lakini haikusema ni kinyume cha katiba.

3. Kukataza kabisa maandamano (blanket ban) hiyo ni kinyume na katiba. Mfano bila kutaj sababu au kwa muda gani, au aina ya maandamano, mfano kuzuia maandamano kama ya siku ya matawi au dhikiri ya masufi na kusema yatalet fujo.

Mchawi ni Article 20(2) ya katiba, ambayo imeweka regulation kwenye article 20(1) iliyotoa uhuru.

Sasa kama mnataka kupeana motisha, peaneni motisha kurekebisha sheria na vifungu vya katiba vinavyozuia uhuru wenu mnaoutaka. Kuliko kuwasikiliza viongozi wenu waliotumia muda wa bunge la katiba kuvaa vibaghalashia na kupanda boti za azam kwenda unguja kupigia debe serikali tatu. Yaani wameacha katiba nzuri kisa serikali tatu. Mkaingia mkenge.
 
HAPO shida sio jeshi ni SIASA na wanasiasa wao wanatii walichoambiwa.
 
Kesi zangu zote namaliza bila kuwahusisha make washakua wapumbavu tuu....
 
Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ?

Maandamano hayana kibali chochote labda hawa jamaa wananfanya siasa na kuna viashiria vya rushwa kama wanauwa watu hawawezi kuwa na akili timamu.

Mkusanyuko huwe na kibali ? kibali cha nini ? mkusanyiko polisi ndio aamue watu wakusanyike au wasikusanyike kama nani hata rais hana mamlaka hayo.
Kwani katiba inasemaje kuhusu maandamano kiongozi.... Tunapopambania haki na utawala bora tuzingatie pia kutumiza wajibu wetu.
 
Back
Top Bottom