Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kuna kitu ujui kuhusu protocol wwPolisi wa ccm nao wameingia kwenye siasa?
Huo ujumbe wa uchaguzi wa serikali za mitaa hapo chini ni kuonesha ni jinsi Gani nchi inapelekwa kama gari bovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu ujui kuhusu protocol wwPolisi wa ccm nao wameingia kwenye siasa?
Huo ujumbe wa uchaguzi wa serikali za mitaa hapo chini ni kuonesha ni jinsi Gani nchi inapelekwa kama gari bovu.
Hivi mkuu....Ila wabongo bhana unakaa Road una rushia mawe ma bus nq tren seriously
On top of that, mawe yalirushwa wakati treni imesimama ama ikiwa kwenye mwendo??Hayo mawe yalikuwa makubwa kiasi gani.. Au vioo ni vya kichina?
Nipo impressed kujua walifanywa nn baada ya tukio!Wakuu,
Hii taarifa mbona kama ya kutuzuga hivi? Hayo mawe yalikuwa ya ukubwa kiasi gani mpaka yavunje hivyo vioo? Au ni sababu ya mwendo? Wazee wa physics mje mtueleze.
Lakini pia kama walikuwa wanashindanisha kasi siyo kwamba yangerushwa kwenye uelekeo ule treni inakoenda kuona kipi kitawahi kufika, au ndio yalikata kona kama ile risasi iliopigwa juu karibu na kituo ikarudi chini hadi kumpata mwanafunzi aliyekuwa anajaribu joho, au risasi iliyppigwa juu ikakata kona hadi kumfikia Akwilina?
Mapovu yenu chawa myaache kwenye nguo, mwenye ana majibu ya kitaalamu kuelezea hilo atuambie tuelewe.
=====
Baada ya kufanya msako Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwakamata watoto hao wawili ambao wote wakazi wa kijiji cha Manase Wilaya Chamwino.
Chanzo cha kufanya uharibifu huo ni baada ya kuona treni ikipita wakarusha mawe kwa pamoja ili kuona kama mawe waliyoyarusha yataweza kushindana na mwendo wa treni.
Jeshi la Polisi limetoa wito kwa wananchi wanaoishi maeneo ya karibu na njia hiyo ya treni kupeana elimu juu ya ulinzi wa miondombinu hiyo na kwa wazazi kutoa elimu kwenye familia hasa kwa watoto kuacha vitendo vitakavyosababisha uharibifu na hivyo kukinzana na sheria za nchi.
View attachment 3159991
Watanzania mnapenda sana negatives. Tayari unataka ku create taharuki hapa!Hao watoto walijukusanya je na kufanya kitu kama hicho kuna watu nyuma ya huo ujuma.
Uchaguzi ni masuala ambayo polisi hawahusiki.Kuna kitu ujui kuhusu protocol ww
Hakuna cha ajabu hapo! Hiyo hata sisi utotoni tumefanya sana na tumekula mboko za kutosha kwa ujinga huo!Hao watoto walijukusanya je na kufanya kitu kama hicho kuna watu nyuma ya huo ujuma.
Jiwe la ¼kg ama pungufu linatoboa kwa kurushwaHayo mawe yalikuwa makubwa kiasi gani.. Au vioo ni vya kichina?
Okaykwani kioo kuvunjika kinahitaji jiwe la ukubwa gani mkuu
hata kokoto tu inavunja kioo, inategemea nguvu ya mrushaji
OkayJiwe la ¼kg ama pungufu linatoboa kwa kurushwa
yes nadhani wanafanya protest ya kitu fulaniPolisi wa ccm nao wameingia kwenye siasa?
Huo ujumbe wa uchaguzi wa serikali za mitaa hapo chini ni kuonesha ni jinsi Gani nchi inapelekwa kama gari bovu.
Mbona hili jambo kwa watu waliosafiri kwa njia ya treni Dar korogwe moshi au Tanga korogwe moshi yalikuwa kawaida kurusha mawe ni vile habari zilikuwa hazitangazwi!Wakuu,