kwa mafunzo gani walokua nayo
Hawana mafunzo maalum bali hutumika pamoja na baadhi ya askari wasiona na nidhamu ya kiaskari.kwa mafunzo gani walokua nayo
Huwa wanapitia mgambo hao na wako kwa mwanvuli wa mgamboHawana mafunzo maalum bali hutumika pamoja na baadhi ya askari wasiona na nidhamu ya kiaskari.
Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi.
View attachment 3326621
Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza kuwatesa kuwapoteza wanachama wa vyama vya upinzani hasa wanaomkosoa Rais na serikali yake.
Katika matukio tofauti Viongozi wa jeshi la Polisi IGP, RPC, RCO, OCD, Waziri wa Mambo ya ndani kwa kushirikiana na wakuu wa Mikoa na Wilaya hulazimika kuwavalisha UVCCM magwanda kwa shinikizo ili chama kitimize malengo yake.
Viongozi hao wapumbavu kwa kujua au kutokujua husababisha lawama kwa jeshi la polisi huku Chama cha Mapinduzi kikijiweka pembeni na kulichia jeshi la polisi mzigo wa kujitetea.
Siku CCM ikitoka madarakani hawa vijana watakuwa hawana kazi maalum ndio watakaokuwa Interahamwe na M23 ya Tanzania.
Polisi wanashirikiana na hao panyaroad UVCCM kuteka na kuua wapinzani, kama siyo washirka wao wangeshawakomesha .Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi.
View attachment 3326621
Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza kuwatesa kuwapoteza wanachama wa vyama vya upinzani hasa wanaomkosoa Rais na serikali yake.
Katika matukio tofauti Viongozi wa jeshi la Polisi IGP, RPC, RCO, OCD, Waziri wa Mambo ya ndani kwa kushirikiana na wakuu wa Mikoa na Wilaya hulazimika kuwavalisha UVCCM magwanda kwa shinikizo ili chama kitimize malengo yake.
Viongozi hao wapumbavu kwa kujua au kutokujua husababisha lawama kwa jeshi la polisi huku Chama cha Mapinduzi kikijiweka pembeni na kulichia jeshi la polisi mzigo wa kujitetea.
Siku CCM ikitoka madarakani hawa vijana watakuwa hawana kazi maalum ndio watakaokuwa Interahamwe na M23 ya Tanzania.
Hivi yule aliyekuwa mkuu wa wilaya Ubungo Said Yuko wapi? Aliyekuwa anaenda Guest house kusaka dada poa?Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi.
View attachment 3326621
Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza kuwatesa kuwapoteza wanachama wa vyama vya upinzani hasa wanaomkosoa Rais na serikali yake.
Katika matukio tofauti Viongozi wa jeshi la Polisi IGP, RPC, RCO, OCD, Waziri wa Mambo ya ndani kwa kushirikiana na wakuu wa Mikoa na Wilaya hulazimika kuwavalisha UVCCM magwanda kwa shinikizo ili chama kitimize malengo yake.
Viongozi hao wapumbavu kwa kujua au kutokujua husababisha lawama kwa jeshi la polisi huku Chama cha Mapinduzi kikijiweka pembeni na kulichia jeshi la polisi mzigo wa kujitetea.
Siku CCM ikitoka madarakani hawa vijana watakuwa hawana kazi maalum ndio watakaokuwa Interahamwe na M23 ya Tanzania.
Ni wote kwa pamoja.Kwa hiyo tatizo sio uvccm ni viongoz wao?
Ni kawaida kiongozi au chama kikaa muda mrefu na kupoteza mvuto, hutengeneza vikundi vya kihalifu ili kutisha jamii iliyoichoka kwa minajilkya kulinda madaraka yake. Na mara nyingi vikundi hivi vya kihalifu hushirikiana ama kupewa kinga na vyombo rasmi vya ulinzi na usalama.Hao wote ni Baba mmoja mama mmoja.
Kazi ya jeshi la Polisi NI kulinda usalama wa raia na mali zake, sasa kama kuna kikundi ambacho kinahatarisha usalama wa raia na mali zake na jeshi la Polisi haiwezi kufanya kitu maana yake ni nini?
Kuna haja gani ya kuwa na jeshi la Polisi kama kuna vikundi vinanguvu kuliko jeshi la Polisi?, ndio maana tunasema wote ni Baba mmoja mama mmoja.
Kwenye damu zetu weka damu zao.Ali Bananga: UVCCM tutalinda Chama, Wanachama na mali za CCM kwa gharama za damu zetu.
NB. Jeshi la polisi ndilo linalolinda raia na mali zao.