dadeez
Senior Member
- Nov 30, 2010
- 120
- 146
Yupo huko HAI kilimanjaroHivi yule aliyekuwa mkuu wa wilaya Ubungo Said Yuko wapi? Aliyekuwa anaenda Guest house kusaka dada poa?

Ukigalagala topeni unategemea kutochafuka?Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi.
View attachment 3326621
Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza kuwatesa kuwapoteza wanachama wa vyama vya upinzani hasa wanaomkosoa Rais na serikali yake.
Katika matukio tofauti Viongozi wa jeshi la Polisi IGP, RPC, RCO, OCD, Waziri wa Mambo ya ndani kwa kushirikiana na wakuu wa Mikoa na Wilaya hulazimika kuwavalisha UVCCM magwanda kwa shinikizo ili chama kitimize malengo yake.
Viongozi hao wapumbavu kwa kujua au kutokujua husababisha lawama kwa jeshi la polisi huku Chama cha Mapinduzi kikijiweka pembeni na kulichia jeshi la polisi mzigo wa kujitetea.
Siku CCM ikitoka madarakani hawa vijana watakuwa hawana kazi maalum ndio watakaokuwa Interahamwe na M23 ya Tanzania.
AsanteYupo huko HAI kilimanjaro
Lini jeshi la Polisi lilikuwa safi?Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi.
View attachment 3326621
Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza kuwatesa kuwapoteza wanachama wa vyama vya upinzani hasa wanaomkosoa Rais na serikali yake.
Katika matukio tofauti Viongozi wa jeshi la Polisi IGP, RPC, RCO, OCD, Waziri wa Mambo ya ndani kwa kushirikiana na wakuu wa Mikoa na Wilaya hulazimika kuwavalisha UVCCM magwanda kwa shinikizo ili chama kitimize malengo yake.
Viongozi hao wapumbavu kwa kujua au kutokujua husababisha lawama kwa jeshi la polisi huku Chama cha Mapinduzi kikijiweka pembeni na kulichia jeshi la polisi mzigo wa kujitetea.
Siku CCM ikitoka madarakani hawa vijana watakuwa hawana kazi maalum ndio watakaokuwa Interahamwe na M23 ya Tanzania.
Polisi wanashirikiana na hao panyaroad UVCCM kuteka na kuua wapinzani, kama siyo washirka wao wangeshawakomesha .
Huwa wana mafunzo kabsa na wengi ni Polisiccm, Amos makala huwatumia kusababisha shida nyingi ili apate kisingizio cha kuomba pesa za kutuliza joto la kisiasa ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi iHao Watu wanaoitwa kuwa ni Green Guard ni Joint Forces ya Watu kutoka Polisi+Tiss+ Majeshi mengine ambao wamepachikwa huko kwenye Chama.
wenyewe wanajiita wanangozi za chuma kuwa hawasikii,hawaoni na hawaelewi.Acha watajuana wenyewe.Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi.
View attachment 3326621
Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza kuwatesa kuwapoteza wanachama wa vyama vya upinzani hasa wanaomkosoa Rais na serikali yake.
Katika matukio tofauti Viongozi wa jeshi la Polisi IGP, RPC, RCO, OCD, Waziri wa Mambo ya ndani kwa kushirikiana na wakuu wa Mikoa na Wilaya hulazimika kuwavalisha UVCCM magwanda kwa shinikizo ili chama kitimize malengo yake.
Viongozi hao wapumbavu kwa kujua au kutokujua husababisha lawama kwa jeshi la polisi huku Chama cha Mapinduzi kikijiweka pembeni na kulichia jeshi la polisi mzigo wa kujitetea.
Siku CCM ikitoka madarakani hawa vijana watakuwa hawana kazi maalum ndio watakaokuwa Interahamwe na M23 ya Tanzania.
Huo ubavu hamna mbele ya wazalendoAli Bananga: UVCCM tutalinda Chama, Wanachama na mali za CCM kwa gharama za damu zetu.
NB. Jeshi la polisi ndilo linalolinda raia na mali zao.