Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM

Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi.

View attachment 3326621

Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza kuwatesa kuwapoteza wanachama wa vyama vya upinzani hasa wanaomkosoa Rais na serikali yake.

Katika matukio tofauti Viongozi wa jeshi la Polisi IGP, RPC, RCO, OCD, Waziri wa Mambo ya ndani kwa kushirikiana na wakuu wa Mikoa na Wilaya hulazimika kuwavalisha UVCCM magwanda kwa shinikizo ili chama kitimize malengo yake.

Viongozi hao wapumbavu kwa kujua au kutokujua husababisha lawama kwa jeshi la polisi huku Chama cha Mapinduzi kikijiweka pembeni na kulichia jeshi la polisi mzigo wa kujitetea.

Siku CCM ikitoka madarakani hawa vijana watakuwa hawana kazi maalum ndio watakaokuwa Interahamwe na M23 ya Tanzania.
Sasa polisi kama wapo timamu si wawakamate?
 
Hii ni sawa na kumlalamikia mbwa kwa kung’ata watu ovyo badala ya mwenye mbwa asiyemdhibiti asifanye ubazazi huo.

Who let the dogs loose?
 
Vyovyote vile
Haya yote yanafanywa kwa Baraka za Rais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Wasaidizi wake ambao ni DGIS, IGP, Kamishna wa Utawala Jeshi la Polisi, Mke wa Rais Mohamed Mchengerwa na Wakuu wa Mikoa wachache akiwemo Makonda, Homera na Chalamila.

Hili suala lazima liende kimataifa maana wamezidi kuwaua Watanzania. Tutahakimisha Hati za kuwakamata zinatolewa na ICC
 
Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi.

View attachment 3326621

Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza kuwatesa kuwapoteza wanachama wa vyama vya upinzani hasa wanaomkosoa Rais na serikali yake.

Katika matukio tofauti Viongozi wa jeshi la Polisi IGP, RPC, RCO, OCD, Waziri wa Mambo ya ndani kwa kushirikiana na wakuu wa Mikoa na Wilaya hulazimika kuwavalisha UVCCM magwanda kwa shinikizo ili chama kitimize malengo yake.

Viongozi hao wapumbavu kwa kujua au kutokujua husababisha lawama kwa jeshi la polisi huku Chama cha Mapinduzi kikijiweka pembeni na kulichia jeshi la polisi mzigo wa kujitetea.

Siku CCM ikitoka madarakani hawa vijana watakuwa hawana kazi maalum ndio watakaokuwa Interahamwe na M23 ya Tanzania.
Usitutoe kwenye Reli.

Greenguard wasisingiziwe
 
Siku jana kila kitu kitakuwa hadharani na wao na viongozi wao watalipia damu walizozimwaga.
Nothing is parmenet, muda ni mwalimu mzuri sana!
 
Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM
​
Huo mstari unaowatenganisha ni wa kufikirika. Nani anamchafua nani?

Guaride la Green Guards1.jpeg
Kongamano la UVCCM.jpg
 
Mimi nayaamini ya Dkt Balozi Slaa.

Singizia wote, mwisho wa siku ni CHADEMA enyewe ikishirikiana na RED Brigade.

CHADEMA imekuwa ikimtafuta mchawi wake, hali mchawi huyo akiwa nyumbani kwake.

MAGULIFICATION must go on.
 
Watu karibu wote waliotekwa , kuumizwa au kupotezwa kabisa na Wasiojulikana walionywa na hawa UVCCM siku chache kabla ya matukio. Coincidence?
Tuwekee linki tuone UVCCM wakimuonya Kibao, Ben Saanane,Mdude ++ nasi tuweze tia neno
 
Kwa taarifa yako, hao Green Guard wengi wao ni Mawakala wa Siri/Askari wa Siri kutoka Polisi na TISS ambao wamewekwa huko kwa ajili ya kutekeleza 'kazi Maalumu.'

Hao ni Mamluki waliiwekwa huko ili kukilinda chama. Kama utakumbuka, kuna Askari Polisi (WP) alikuwepo huko kwenye chama hicho alijifanya kuwa ni Mwandishi wa Habari wa Chama hicho, alifariki katika ajali ya Barabarani na mara moja Jeshi la Polisi lilijitokeza na kumzika mtu huyo kwa kufuata Taratibu zao za kipolisi.

Hao Watu wamepewa Mamlaka na madaraka yote kabisa ya kufanya Kitu chochote kile dhidi ya Mtu yoyote yule ambaye anaonekana kuwa anahatarisha Usalama wa Chama, na huwezi kuona kwamba wanashitakiwa Mahakamani kwa uhalifu wao.
Wala usihofu chifu muda na wakati sahihi unatafika na hao wote wanaofanya huvyo vitendo viovu watafahamika na kupatiwa hukumu inayowastahili
 
Tuwekee linki tuone UVCCM wakimuonya Kibao, Ben Saanane,Mdude ++ nasi tuweze tia neno
Acha uvivu, ya Ben Saanane kila kitu kimo humu. Kuanzia vitisho vyote mpaka namba za simu aliweka humu.
Mdude hii ni mara ya 5 kutekwa na wasiojulikana.
 
Ndio mnaona huwapiga na kuwatupa ,jaribuni siku moja mjipange liwalo na liwe ,maana hata wakiwapeleka waliowakama wakuu wa vituo wanawakataa zaidi watawapa muda kupumzika na baadae huondoshwa na mateka wao,
Ila siku mmoja wa hao watekaji au mkipata clear picture kutumia technojia zakidigitali mtu anaumbuka , ila siku watakayopatikana na kupigwa kipigo takatifu ,ndio watafahamika
 
Watu karibu wote waliotekwa , kuumizwa au kupotezwa kabisa na Wasiojulikana walionywa na hawa UVCCM siku chache kabla ya matukio. Coincidence?
Upo sahihi hata aliyemuonya Fr. Kitima ni jamii ileile.
 
Vyovyote vile
Haya yote yanafanywa kwa Baraka za Rais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Wasaidizi wake ambao ni DGIS, IGP, Kamishna wa Utawala Jeshi la Polisi, Mke wa Rais Mohamed Mchengerwa na Wakuu wa Mikoa wachache akiwemo Makonda, Homera na Chalamila.
Mke au mkwe
 
Back
Top Bottom