Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM

Sasa polisi kama wapo timamu si wawakamate?
 
Hii ni sawa na kumlalamikia mbwa kwa kung’ata watu ovyo badala ya mwenye mbwa asiyemdhibiti asifanye ubazazi huo.

Who let the dogs loose?
 
Vyovyote vile
Haya yote yanafanywa kwa Baraka za Rais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Wasaidizi wake ambao ni DGIS, IGP, Kamishna wa Utawala Jeshi la Polisi, Mke wa Rais Mohamed Mchengerwa na Wakuu wa Mikoa wachache akiwemo Makonda, Homera na Chalamila.

Hili suala lazima liende kimataifa maana wamezidi kuwaua Watanzania. Tutahakimisha Hati za kuwakamata zinatolewa na ICC
 
Usitutoe kwenye Reli.

Greenguard wasisingiziwe
 
Siku jana kila kitu kitakuwa hadharani na wao na viongozi wao watalipia damu walizozimwaga.
Nothing is parmenet, muda ni mwalimu mzuri sana!
 
Mimi nayaamini ya Dkt Balozi Slaa.

Singizia wote, mwisho wa siku ni CHADEMA enyewe ikishirikiana na RED Brigade.

CHADEMA imekuwa ikimtafuta mchawi wake, hali mchawi huyo akiwa nyumbani kwake.

MAGULIFICATION must go on.
 
Watu karibu wote waliotekwa , kuumizwa au kupotezwa kabisa na Wasiojulikana walionywa na hawa UVCCM siku chache kabla ya matukio. Coincidence?
Tuwekee linki tuone UVCCM wakimuonya Kibao, Ben Saanane,Mdude ++ nasi tuweze tia neno
 
Wala usihofu chifu muda na wakati sahihi unatafika na hao wote wanaofanya huvyo vitendo viovu watafahamika na kupatiwa hukumu inayowastahili
 
Tuwekee linki tuone UVCCM wakimuonya Kibao, Ben Saanane,Mdude ++ nasi tuweze tia neno
Acha uvivu, ya Ben Saanane kila kitu kimo humu. Kuanzia vitisho vyote mpaka namba za simu aliweka humu.
Mdude hii ni mara ya 5 kutekwa na wasiojulikana.
 
Ndio mnaona huwapiga na kuwatupa ,jaribuni siku moja mjipange liwalo na liwe ,maana hata wakiwapeleka waliowakama wakuu wa vituo wanawakataa zaidi watawapa muda kupumzika na baadae huondoshwa na mateka wao,
Ila siku mmoja wa hao watekaji au mkipata clear picture kutumia technojia zakidigitali mtu anaumbuka , ila siku watakayopatikana na kupigwa kipigo takatifu ,ndio watafahamika
 
Watu karibu wote waliotekwa , kuumizwa au kupotezwa kabisa na Wasiojulikana walionywa na hawa UVCCM siku chache kabla ya matukio. Coincidence?
Upo sahihi hata aliyemuonya Fr. Kitima ni jamii ileile.
 
Mke au mkwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…