Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM

Ukigalagala topeni unategemea kutochafuka?
 
Lini jeshi la Polisi lilikuwa safi?
 
Polisi wanashirikiana na hao panyaroad UVCCM kuteka na kuua wapinzani, kama siyo washirka wao wangeshawakomesha .

Hao Watu wanaoitwa kuwa ni Green Guard ni Joint Forces ya Watu kutoka Polisi+Tiss+ Majeshi mengine ambao wamepachikwa huko kwenye Chama.
 
Aheni uoga, hapo kuna nani anakutisha kati ya hao Green Guard?

Polisi wanakitifua wenyewe.

Sema kwanini Green Guard wanaruhusiwa kuvaa buti za jeshi lakini wengine hawaruhusiwi?
 
Dikteta mkoloni kaburu mama iddy Amin Dada toka Zanzibar sasa anaitawala Tanganyika kimabavu muungano ufe Tanganyika idai uhuru wake
 
Hao Watu wanaoitwa kuwa ni Green Guard ni Joint Forces ya Watu kutoka Polisi+Tiss+ Majeshi mengine ambao wamepachikwa huko kwenye Chama.
Huwa wana mafunzo kabsa na wengi ni Polisiccm, Amos makala huwatumia kusababisha shida nyingi ili apate kisingizio cha kuomba pesa za kutuliza joto la kisiasa ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi i
 
Nakumbuka Chadema kiliwahi kuwa na Red brigade, chini ya Idara ya Wilifred Rwakatare( Mbunge wa Zamani wa Bukoba Mjini kwa Tiketi ya vyama vya upinzani)
 
Mhe. Lissu: Wagombea wa CCM 872 wa udiwani walipita bila kupingwa kutokana na kuenguliwa kwa wapinzani kwa mujibu wa taarifa rasmi ya tume?

Kaaya: Sijawahi kuisoma hiyo taarifa.

Kaaya: Waheshimiwa Majaji mimi nilisikia wagombea walipita bila kupingwa lakini idadi ya 28 sikumbuki.

Mhe. Lissu: Mimi nasoma ndio maana najua walikuwa 28 wewe unatengeneza Viyoyozi.

Kaaya: Mimi ni askari Polisi sio fundi viyoyozi.

Mhe. Lissu: Kwahiyo hukusema hapa kuwa umesomea Air Condition? wewe ndio ulituambia haya mambo ya viyoyozi au nani alituletea?

Kaaya: Nilisema basi yaishe.
 
Wenye
wenyewe wanajiita wanangozi za chuma kuwa hawasikii,hawaoni na hawaelewi.Acha watajuana wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…