KERO Jeshi la Polisi liongeze muda wa kuomba ajira kutokana na changamoto ya mtandao

KERO Jeshi la Polisi liongeze muda wa kuomba ajira kutokana na changamoto ya mtandao

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Habari wakuu,

Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za polisi 09/05/2024 mpaka leo bado sijafanikiwa Ku Signin kwenye huo mfumo.
Kila nikijaribu haufunguki, je kuna mtu amefanikiwa kukamilisha maombi?

Ushauri tafadhali maana hio ajira kwangu ni muhimu sana kulingana na Situation yangu ya maisha kwa sasa
 
Bila kelele ya watu maarufu hili jahazi ndo limezama
 
Acheni uraia kwanini usimjibu vizuri ungepungukiwa nini,mkijaa kwenye 18 mnatia huruma sana..
Usimtishe wala kumpa majina upendavyo.Kwani unamfahamu?Kazi/kada karibu zote hulalamikiwa,kushutumiwa au kukosolewa.Ina maana hata wewe bado una uraia na haujakamuliwa hasira za kiraia.Huwezi kujichukiza tu kwa maandishi ya mtu usiyemfahamu.Uvumilivu na kucheza na akili ya unayemkabili ndiyo silaha halisi ya mtu anayetaka kujitofautisha/ kujipambanua na raia asiyejua mambo ya uaskari.You catch me,chap?
 
Apply leo kuanzia saa 5:30 usiku mtandao huu wa polisi utakuu free enough

Download browser ya fire box ndo utumie pia tumia link ya TPF ajira2

N.b we nung'unika wenzio wana apply

Fanya hvo dogo
 
Apply leo kuanzia saa 5:30 usiku mtandao huu wa polisi utakuu free enough

Download browser ya fire box ndo utumie pia tumia link ya TPF ajira2

N.b we nung'unika wenzio wana apply

Fanya hvo dogo
broswer ya fire box ndio ipi mkuu??
 
Apply leo kuanzia saa 5:30 usiku mtandao huu wa polisi utakuu free enough

Download browser ya fire box ndo utumie pia tumia link ya TPF ajira2

N.b we nung'unika wenzio wana apply

Fanya hvo dogo
unamaanisha Fire Fox? iyo box haipo
 
Naambiwa fail to process application nifanye vipi
 
Attachments

  • Screenshot_20240522-101248 (1) (1).png
    Screenshot_20240522-101248 (1) (1).png
    35.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom