Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Ni wazee wananwake na watoto ndio watabaki nyumbani.
Nimecheka sana hapo alivyotamka neno "diaspora" huyo ni division IV nyingine kama Samia.Lipolisi form four failure, lime record clip ya kutia huruma, kujenga hoja haliwezi, train of thought haipo, akili ya kiccm, hata kutaja neno Diaspora kwa usahihi halijui, eti linasema DEAR SPORA
Hivi unafikiri katiba ilitungwa na kikundi cha Wajinga mpaka wakaweka haki ya kuandamana unadhani wao waliona nini mpaka wakaiweka hio haki? Au unafikiri katiba ilitungwa na Zuwena na Babalevo?Napendekeza yafutwe ktk katiba ya Tanzania. Yakiwa ya kupongeza au kupinga, yote yafutwe
Napendekeza yafutwe ktk katiba ya Tanzania. Yakiwa ya kupongeza au kupinga, yote yafutwe