A bunch of idiots! Kuzuia maandamano kunanufaisha wengi? Kwahiyo watawala wanaonufaika na zuio la maandamano ndio wengi?Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi!
"Maandamano ni biashara, wachache inawalipa na kuwanufaisha zaidi huku wengi tukiumia kwa kupoteza kazi, biashara zetu na madhara mengine mengi."
George Kalemba atakuwa hana akili timamu, anasema madhara ya maadamano wapewe diaspora na sio viongoziKupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi!
"Maandamano ni biashara, wachache inawalipa na kuwanufaisha zaidi huku wengi tukiumia kwa kupoteza kazi, biashara zetu na madhara mengine mengi."
Uyakute yanasisitiza amani sasa.Lipolisi form four failure, lime record clip ya kutia huruma, kujenga hoja haliwezi, train of thought haipo, akili ya kiccm, hata kutaja neno Diaspora kwa usahihi halijui, eti linasema DEAR SPORA
Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi!
"Maandamano ni biashara, wachache inawalipa na kuwanufaisha zaidi huku wengi tukiumia kwa kupoteza kazi, biashara zetu na madhara mengine mengi."
Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi!
"Maandamano ni biashara, wachache inawalipa na kuwanufaisha zaidi huku wengi tukiumia kwa kupoteza kazi, biashara zetu na madhara mengine mengi."
Kunywa damu ya Watanzania nayo ni biashara tena hawanufaiki wa chache kwa biashara hiyo kwani muuza manati anafaidi ,mwagiza manati anafaidika na waagizwa kutumia manati nao wanafaidika achilia mbali mwamuru watumia manati na washirika wao.Hivyo tusidanganyane isingekuwa biashara uhai ungepewa thamani kuliko pesa ama mali nyingine yeyote iwayo hata madaraka na vinavyoambatana navyo!Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi!
"Maandamano ni biashara, wachache inawalipa na kuwanufaisha zaidi huku wengi tukiumia kwa kupoteza kazi, biashara zetu na madhara mengine mengi."
Yaani yana ujinga mwingi sana 😁Nimecheka sana hapo alivyotamka neno "diaspora" huyo ni division IV nyingine kama Samia.
Kwanini huyo kidampa kama ni diaspora kweli kwanini hajionyeshi sura tumuone maana kaamua kwenda public.
Lipoliccm na propaganda zake zimefeli eti "dear-spola"