Hao ni wapumbavu, wanaongea ujinga, WATU WANAFAIDIKA VIPI?Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi!
"Maandamano ni biashara, wachache inawalipa na kuwanufaisha zaidi huku wengi tukiumia kwa kupoteza kazi, biashara zetu na madhara mengine mengi."
Si wamelipwa kila mtu 150,000 ili kuzuia maandamano halali kisheria na katiba kwa raia kisha wakaishia kufanya Massacre. Hio kwao si biashara na imewalipa 150,000 kila mtu ile siku ya uchaguzi.Na wao ni wanufaika maana wanapewa tenda za kuuwa
Weka sura, you're probably a refugee from Burundi. Tuko nao wengi mnapenda kujifanya Wabongo, unazungumzia watu kuvaa musks where is your face?Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi!
"Maandamano ni biashara, wachache inawalipa na kuwanufaisha zaidi huku wengi tukiumia kwa kupoteza kazi, biashara zetu na madhara mengine mengi."
maneno kidogo risasi kwa wingiWatafunga comment section. Wauwaji wakubwa hao
Wameshaua na kujeruhi wengi na bado wanaendeleza unyanyasaji wa kubambikia watu kesi za uongo dah🥲🙌Si wamelipwa kila mtu 150,000 ili kuzuia maandamano halali kisheria na katiba kwa raia kisha wakaishia kufanya Massacre. Hio kwao si biashara na imewalipa 150,000 kila mtu ile siku ya uchaguzi.