PostGE2025 Jeshi la Polisi: Maandamano ni biashara na wachache ndiyo wanufaika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
A bunch of idiots! Kuzuia maandamano kunanufaisha wengi? Kwahiyo watawala wanaonufaika na zuio la maandamano ndio wengi?
 
Hivi ili nchi za ulaya zipate kitu kutoka Tanzania lazima zitumie pesa kuwalipa Diaspora? Mbona wananjia nyingi tu zakuweza kutunyonya na kupata wanachohitaji kutoka Africa, bajeti zitu kwa asilia kubwa bado tunategemea msaada toka kwao, Polisi na huyo kibaraka wenu wa Canada mnatumia kiungo gani kufikiria, mnahisi hiki kizazi bado kinawaza kama miaka 50 iliyopita...
 
George Kalemba atakuwa hana akili timamu, anasema madhara ya maadamano wapewe diaspora na sio viongozi
 
Lipolisi form four failure, lime record clip ya kutia huruma, kujenga hoja haliwezi, train of thought haipo, akili ya kiccm, hata kutaja neno Diaspora kwa usahihi halijui, eti linasema DEAR SPORA
Uyakute yanasisitiza amani sasa.

Unaweza kujua watu wa mana kumbe wezi wauaji na waonevu wakubwa.

Wanajifanya kutupenda sana kwamba tusiandamane tutakufa kwa kupigwa risasi.

Kumbe sisi waandamanaji hata huo uhai tumeamua kuutoa sadaka kwa faida yetu sasa na vizazi vyetu vijavyo vikiwamo vya hao hao wapungufu wa akili policcm.
 

Mjinga mwingine tu huyu.

Hivi anafikiri kazi ya kulinda amani ni kazi ya Wananchi peke yao? Kwa hiyo ansjifabya haoni tatizo? Sasa yuko huko Canada anafanya nini.

Halafu asiseme watu wamefariki. Aseme wameuawa.
 
Hata upolisi ni biashara ya watu wachache

Ukimtoa Wambura, Mafwele na Muliro, waliobaki wote uchumi wao ni wa kutetereka mno.

Na hao ndio wanaotumwa kwenda kupambana na waandamanaji ili hao the top wale mema ya nchi kwa utulivu.
 
Kunywa damu ya Watanzania nayo ni biashara tena hawanufaiki wa chache kwa biashara hiyo kwani muuza manati anafaidi ,mwagiza manati anafaidika na waagizwa kutumia manati nao wanafaidika achilia mbali mwamuru watumia manati na washirika wao.Hivyo tusidanganyane isingekuwa biashara uhai ungepewa thamani kuliko pesa ama mali nyingine yeyote iwayo hata madaraka na vinavyoambatana navyo!
 
Mfano wale walioandamana kuhusu mwendokasi ambapo baadae suluhu ilipatikana,polisi wakaanza kuwahi safari zao ilhali walikua wanawapinga,polisi amewaza hivyo?
 
Nimecheka sana hapo alivyotamka neno "diaspora" huyo ni division IV nyingine kama Samia.

Kwanini huyo kidampa kama ni diaspora kweli kwanini hajionyeshi sura tumuone maana kaamua kwenda public.

Lipoliccm na propaganda zake zimefeli eti "dear-spola"
Yaani yana ujinga mwingi sana 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…