PostGE2025 Jeshi la Polisi: Maandamano ni biashara na wachache ndiyo wanufaika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hao ni wapumbavu, wanaongea ujinga, WATU WANAFAIDIKA VIPI?
 
Na wao ni wanufaika maana wanapewa tenda za kuuwa
Si wamelipwa kila mtu 150,000 ili kuzuia maandamano halali kisheria na katiba kwa raia kisha wakaishia kufanya Massacre. Hio kwao si biashara na imewalipa 150,000 kila mtu ile siku ya uchaguzi.
 
Weka sura, you're probably a refugee from Burundi. Tuko nao wengi mnapenda kujifanya Wabongo, unazungumzia watu kuvaa musks where is your face?
Okay let's say maandamano ni 'biashara' ya wachache sasa tujadili biashara ya kuteka, kulawiti na kuua ni ya wengi au wachache.
Vipi biashara ya watu kunyimwa uhuru wa kutoa mawaza yanayokinzana na ya Samia ni biashara ya wengi au wachache? Biashara ya kuuza maliasili za nchi kwa siri ni ya wengi? Biashara ya kujazana ndugu bungeni na serikalini nayo ni ya wengi?
The list can go on and on and on bila kikomo.
 
Si wamelipwa kila mtu 150,000 ili kuzuia maandamano halali kisheria na katiba kwa raia kisha wakaishia kufanya Massacre. Hio kwao si biashara na imewalipa 150,000 kila mtu ile siku ya uchaguzi.
Wameshaua na kujeruhi wengi na bado wanaendeleza unyanyasaji wa kubambikia watu kesi za uongo dah🥲🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…