Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Hawa Watu watakua na Roho mbaya SanaMuliro alikana pia kuhusu ujambazi uliofanywa na polisi wenzie kwa makada wa CHADEMA waliotekwa na kupelekwa maeneo ya Bunju.
Huu ujinga haupaswi kuchekewa.
Hakuna mmiliki wa Tanzania.