Jeshi la Polisi Mbeya lakanusha kumkamata Mdude Nyagali

Mpaka kuja hapa kukanusha inamaana walilotegemea limezidi kimo, hatunaye.
Hivi wale waliokwenda leo asubuhi kuchukua vipimo vya damu yake walikuwa ni akina nani? Mbona walijiamini kwenda kweupe hivyo!
 
Kama Muliro na wahuni wenzake waliwakamata watu mbele ya kamera na kuonekana wakiwapakia kwenye magari na kwenda kuwatupa porini, kesho yake ana sema bila aibu kwamba hao walio tupwa porini hawaja kamatwa na polisi, ni nani ndani ya polisi ata simama mbele ya jamii ya Watanzania kusema jambo na sisi jamii tuwaamini? Polisi mmesha chafuka, polisi mmesha kuwa wabaya kuliko mbwa mwitu. Ni bora kukutana na Simba kuliko kukamatwa na polisi mlio poteza utu. We need Mdude back
 
Sidhani kama kuna majambazi wanavamia mtu kumpiga kumteka na kukimbia nae, wengi watakudhuru na kukuacha na kuiba mali zako..
 
Polimajambazi
 
Tanzania imefika pabaya sana,mbaya zaidi watawala wanajifanya hawaoni.

Watu Wana hisia za hasira ndani kwa ndani ila Hawana cha kufanya.
 
Mtaua watu wangapi wazee......
Ila hii ni nzuri kwani watu watapata akili..isitoshe sisi wote ni wapita njia..nothing is permanent!
Endeleeni kuua tu...but there is a day kila mtu atalipa kulingana na matendo yake....
Hii dunia ina Mwenyewe!
 
Alishaikomboa Baba wa Taifa ninyi wengine mnasumbuliwa na uchu waadaraka na njaa
Pole yako Sana, Mimi binafsi nilishatangaza Wazi wazi kabisa humu mtandaoni kwamba sihitaji Uteuzi wowote ule wa Cheo Cha kisiasa.

Endapo kama ningekuwa Nina uchu wa madaraka Kama unavyodhani wewe, Basi mpaka Sasa tayari ningeyapata tangu zamani hayo madaraka kupitia kwenye Utawala huu huu wa CCM uliopo hivi Sasa.

But all in all, Mimi siyo Mwanasiasa na wala siyo Mwanachama wa Chama chochote kile Cha Siasa, na Wala sitarajii kuwa Mwanasiasa katika maisha yangu yote kabisa ya hapa duniani.
 
Washamuua.

Hii ichi imeshachafuka. Tuwaombe tu Wamarekani na Waingereza waje kutulinda maana walinzi wetu ndo watering wetu.
Itakuwa kama kweli alikuwa anatetemeka akizungumza huyo polisi itakuwa amewafia.. je hakuna watu karibu na vituo vya polisi mbeya?
 
Baba yako na mama yako walipofariki kama ni hivyo, ulilia mpaka ukazimia, je leo hii bado unaendelea kulia? Au baada ya kuwazika uliendelea kwenda kwenye makaburi yao? Huenda hata haujui yalipo maana yamefutika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…