Jeshi la Polisi Mbeya lakanusha kumkamata Mdude Nyagali

Ukiona hivyo ujue tayari wamekatisha uhai wake.

Ni kweli kabisa, pengine huenda wanaona kuurejesha mwili wake italeta mjadala mkubwa zaidi katika nchi.
Kwa hakika tumefika kwenye hatua mbaya Sana kupita kiasi.

Uhai wa mTanzania kwa Sasa hauna thamani kabisa mbele ya vyombo vya Dola.
 
Mdude hatopatikana Tena, na Atakua kauwawa .

HATOPATIKANA TENA, KWA SABABU KILA DHAHAMA ALISHAPITIA, KAFUNGWA, KATESWA.

AINA TU YA UKAMATAJI , INADHIHIRISHA JESHI LA POLISI LIKO KAZIN ,WAHUNI WAMEAMUA KUTEKA NA KUUA WATU
Mdude is no more.

Inauma Sanaa..mbaya zaidi ni kuuwawa kikatili na kinyama inauma Sana kwa walicho mfanyia mdude.
 
Mtaua watu wangapi wazee......
Ila hii ni nzuri kwani watu watapata akili..isitoshe sisi wote ni wapita njia..nothing is permanent!
Endeleeni kuua tu...but there is a day kila mtu atalipa kulingana na matendo yake....
Hii dunia ina Mwenyewe!
Wake up call kwamba Wananchi amkeni!
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kali...

Si Mbowe wala Lisu mwenye furaha kwa sasa
 
Jeshi la policcm ndio waliomteka na kumfanyia unyama huwo hata wakanushe vipi ukweli utabakia hivyo.
 
Kwa ujambazi wa mchana kweupe uliofanywa na Polisi tarehe 24 April 2025 pale Kisutu na Muliro kukataa kuwa wale hawakuwa Polisi itabidi mtu uwe mwendawazimu kuamini kauli ya Polisi wa Mbeya. Jeshi la polisi limekuwa genge la majambazi wanaovaa uniform.
 
Ushafirika kama mdude sio?

Maamaeee🤣🤣
Dogo tulia

Nakuambia tena acha kutembea na wake za watu

Shauri yako
Ushafirika kama mdude sio?

Maamaeee🤣🤣
Kumbe kamanda Mdudu kelele zake zote analala chooni

Khee
Wewe unayeunga mkono uhalifu mbaya kama huu ni kweli upo timamu sawa sawa kichwani kwako???

Unayajua madhara yake ??

Nakushauri Usome historia ya maisha ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini Bw. Jacob Zuma ili ujue ni kwa nini Mtu huyo Chama Cha ANC kilimteua kuwa Rais wa nchi hiyo licha ya kwamba hajawahi kwenda Shule hata darasa moja na kuwaacha Watu wengine wengi ambao ni Wasomi.
 
Ni bora tawala zilizo pita mtu Kama bashungwa anasimama kuzungumza hata asivyo vijua.
Kuna mzee mmoja mwandamizi mstaafu wa Tiss niliwai kua karibu nae alikataza watoto wake Wala kuwapeleka TISS najua mzee alikua na majuto yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…