Oh Lord! Hii ni hatari zaidi!Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo
Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa Mdude wawasilane na Jeshi la Polisi ili kusaidia Uchunguzi.
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Swali ni hili: Aliyemkamata Mdude ni nani na Je Mdude yuko hai au Wamemuua?
--
View attachment 3322821
Baadhi ya Taasisi watendaji wake wanaishi kwa hofu sababu ya amri za wakubwa wao ndo maana hata Jambo la haramu kisheria hulazimika kufanya sababu ya maagizo Toka kwa wakubwa kwao.
True..maana hakuna mchaga asiye na akili kama huyu mbwa.Huyu jamaa kwao ni Geita, si Mchaga hilo jina ni fake
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo
Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa Mdude wawasilane na Jeshi la Polisi ili kusaidia Uchunguzi.
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Swali ni hili: Aliyemkamata Mdude ni nani na Je Mdude yuko hai au Wamemuua?
--
View attachment 3322821
Mzee Mbowe,Lema,Lissu na John Mrema ,laana ya kumtumia Mdude kwa maslahi yao haitaacha salama hata kidogo.Hii ni habari mbaya, ogopa sana polisi wakisema hawajui ulipo na hawausiki na kupotea kwako. Kwa kifupi inawezekana Mdude akawa ameumaliza mwendo.
Mbaya zaidi hakuna kitu wanachadema wenzie watafanya zaidi ya kupost unafki mitandaoni as if wamesikitishwa baadae atasahaulika kama Soka. Hakuna yoyote ata risk maisha yake kupigania haki ya kina Mdude zaidi ya kupost maelezo yaliyojaa uchungu yasiyo na msaada wowote.
Kijana wa kitanzania kuwa makini na wanasiasa watakutumia tu kwenye maslahi yao likikukuta ni lako peke yako na familia yako.
Japo Mdude alifurahia kifo cha Magufuli lakini nimesikitika sana na mwisho wa hii safari yake, alikuwa ni kijana mdogo aliyetumika vibaya kwa maslahi ya wanasiasa na wanaharakati.
Kupost nako no hatua ya kuguswa na jambo! Hata kununa tu ni hatuaHii ni habari mbaya, ogopa sana polisi wakisema hawajui ulipo na hawausiki na kupotea kwako. Kwa kifupi inawezekana Mdude akawa ameumaliza mwendo.
Mbaya zaidi hakuna kitu wanachadema wenzie watafanya zaidi ya kupost unafki mitandaoni as if wamesikitishwa baadae atasahaulika kama Soka. Hakuna yoyote ata risk maisha yake kupigania haki ya kina Mdude zaidi ya kupost maelezo yaliyojaa uchungu yasiyo na msaada wowote.
Kijana wa kitanzania kuwa makini na wanasiasa watakutumia tu kwenye maslahi yao likikukuta ni lako peke yako na familia yako.
Japo Mdude alifurahia kifo cha Magufuli lakini nimesikitika sana na mwisho wa hii safari yake, alikuwa ni kijana mdogo aliyetumika vibaya kwa maslahi ya wanasiasa na wanaharakati.
Mdude atakua amechukuliwa na kikosi kazi cha kuua na kutesa wapinzaniAkizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo
Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa Mdude wawasilane na Jeshi la Polisi ili kusaidia Uchunguzi.
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Swali ni hili: Aliyemkamata Mdude ni nani na Je Mdude yuko hai au Wamemuua?
--
View attachment 3322821
Tanzania imefika pabaya sana,mbaya zaidi watawala wanajifanya hawaoni.
Watu Wana hisia za hasira ndani kwa ndani ila Hawana cha kufanya.
Ogopa sana uhai uliopo ktk Damu ya MwanadamuKama Muliro na wahuni wenzake waliwakamata watu mbele ya kamera na kuonekana wakiwapakia kwenye magari na kwenda kuwatupa porini, kesho yake ana sema bila aibu kwamba hao walio tupwa porini hawaja kamatwa na polisi, ni nani ndani ya polisi ata simama mbele ya jamii ya Watanzania kusema jambo na sisi jamii tuwaamini? Polisi mmesha chafuka, polisi mmesha kuwa wabaya kuliko mbwa mwitu. Ni bora kukutana na Simba kuliko kukamatwa na polisi mlio poteza utu. We need Mdude back