Jeshi la Polisi Mjitathmini. Tendeni Haki

Jeshi la Polisi Mjitathmini. Tendeni Haki

Walichoweza , ni kuvunja rekodi ya Dunia kwa kumleta Shahidi MKOJOZI namba moja duniani akiwa kizimbani, na pia kumleta shahidi wakwanza kuwatetea washtkiwa.
emoji23.png
chawa wa gaidi wanavyojinyea jukwaani tulieni dawa iwaingie mtatulia tu na gaidi wenu
 
Usituchanganye polisi wote labda hao ndio wale watu wasiojulikana ndani ya nchi wenye zana za kila aina,tupo polisi katu hatumuonei mtu na wengine tunaowakamata huwasamehe huku huku mitaani bila ya kufikishana mbali tena bila kuchukua nduaro aka senti tano,tupo polisi watenda wema wengi tu.
Kawaida polisi tunatakiwa tuwe wema kwa raia,hao wangine huwa wanakengeuka ni tabia yao au tamaa au ubabe wanasahau iko siku wataishi uraiani.
Hata ukiwa mwema vipi utabanwa na nature ya Kazi itakutaka utende watakavyowanasiasa
 
Shida ni katiba hii chakavu ndo uwafanya police wasiwe weledi.
 
usiyoyajua ni bora kuyakalia kimya,
mie ninaimani sana na jjeshi la polisi na ka halijatenda haki basi mahakama itatenda haki
Sidhani kama tunasababu za kujenga chuki kwa ukweli ama uongo tusioujua?
Hii dunia inamambo mengi sana laiti tungeweza funuliwa hasa kwa wale tunaowaamini ama tusiowaamini tungejifunza jambo kubwa sana.
Ni kweli tulikaa kimya tukisubiri kuona ushahidi usiotia shaka kama mkuu wa polisi alivyotuaminisha kwamba ushahidi wanao wa kutosha.

Mpaka sasa ni shahidi wa 10 hatujauona ushahidi wowote unaohusiana na mashtaka ya ugaidi,

Na hasa ushahidi wa Jana Ndiyo umewavua nguo kabisa hao washtaki kutokana na swali shahidi aliloulizwa na kibatala na shahidi kulijibu;

"Je wewe kama polisi uliye chini ya kiapo ungeona viashiria vyovyote vya ugaidi ktk mawasiano ya Mbowe ungeacha kuviandika"

"Mimi ni polisi nisingeacha kuviandika"

Sasa twambie Kati yako wewe na huyo polisi aliyejinasibu kuwa na utaalamu wa kuchunguza mawasiliano, ni nani anajua?

Ama kuhusu chuki dhidi ya polisi haiwezi kuepukika kutokana na ukweli kuwa polisi wanatumiwa vibaya na hata Rais amewahi kusema,

Utaratibu wa polisi kuwa waandaaji wa mashtaka hao hao wapeleleze, wachunguze na watoe ushahidi hii Ndiyo inayojenga kutokuaminika kwao kwa wananchi na ktk hili hawawezi kutenda haki, hapa ndipo palipo na chanzo cha chuki dhidi yao.
 
Police ni watu wa dhambi maaana waokila kitu ni kupora haki za watu tu
 
mkuu nimekuelewa vya basi nadhani kunahaja yaha madaraka kwao yagawanywe na yaende kwa wengine sasa
 
Back
Top Bottom