Jeshi la polisi mkiwa kama hivi mtakuwa mkipendwa sana

Jeshi la polisi mkiwa kama hivi mtakuwa mkipendwa sana

Huyo anatafuta cheo Cha uaijipi.maana anajua clip yake ikifika Kwa mama atapandishwa cheo.kama anasaidia asidie kimya kimya na siyo kuita vyombo vya habari.
 
Ingawa sijawahi kutoka nje ya Tanzania lakini na siwezi kusema kuhusu police wa nchi nyingine. Lakini ni kweli hakuna nchi ambayo raia wake wanawapenda police asilimia 100. Wao wamewekwa kulinda sheria ifuatwe na binadamu kwa asili ni wavunja sheria ikiwemo ata hao Askari. KWa hiyo ni ngumu sana kua na police perfect 100% anapotokea mmoja kama massawe basi na apongezwe
Polisi kupendwa na polisi kufanya kazi kwa kufuata sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Polisi hawako kazini ili kupendwa kwa asilimia 100. Polisi wako kazini ili kutimiza wajibu wao kwa kufuata sheria na kanuni zinazowaongoza. Hivi unadhani wahalifu kuna siku hata moja watawapenda polisi! Brain, brain, brain!
 
Polisi kama huyu anaonyesha uwajibikaji wake kulinda amani na kusaidia pale jambo linapo wezekana.

kumsaidia kusomesha mtoto ni jambo zuri

View: https://www.youtube.com/watch?v=jyoBjJv64fs

Hivi mtu anapataje ubavu wa kusimama na kuwaambia watu wanaoishi maisha ya kimaskini kiasi hiki wakipigia kura chama chake kwa sababu kimewaletea maendeleo makubwa kama Dreamliner, flyover, SGR, bwawa la Nyerere katika miaka 63 ya utawala wake. Kinachosikitisha ni kuwa hana hata haja ya kuwaambia hivyo maana hawa ni wakereketwa wa chama chake na watakipigia kura tu hata iwaje!

Amandla...
 
Chuja mengine ya ubinadamu fanya. Ila ccm ni makalio kwa jina nyashi
 
Back
Top Bottom