Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi.
Ujumbe huo ni mfupi tu unasomeka kuwa "tunamhitaji ndugu Humphrey Polepole aje atusaidie kujenga hoja za maridhiano"
Nadhani huo ni ujumbe wa amani na hauna shida yoyote kwahiyo naomba sana wewe afande mkurya fuata kilicho kuleta Iringa, usitubugudhi wapenda amani.
CHADEMA nao wanataka upande wao awepo Tundu Lissu ni sawa pia, ila mimi kadawa CCM nahitaji Polepole awepo.