Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
NaamMwambie asione kukufatafata asije akakuona uko pekeyako mwambie tupo wengi
Ugaidi utayeyusha AFCON na utalii.Ngoja wakukamate kwa kosa la uhaini au ugaidi. Siku hizi wageuza kuwa kichaka cha kuwashikilia wakosoaji wa serikali kwa muda mrefu. Na hii yote ni baada ya kugundua kesi za uchochezi wahanga walitoka kirahisi kwa dhamana.
Vumilia maana imechafuka mwenyewe kuipenda hiyo ccm yako.Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi.
Ujumbe huo ni mfupi tu unasomeka kuwa "tunamhitaji ndugu Humphrey Polepole aje atusaidie kujenga hoja za maridhiano"
Nadhani huo ni ujumbe wa amani na hauna shida yoyote kwahiyo naomba sana wewe afande mkurya fuata kilicho kuleta Iringa, usitubugudhi wapenda amani.
CHADEMA nao wanataka upande wao awepo Tundu Lissu ni sawa pia, ila mimi kadawa CCM nahitaji Polepole awepo.
Wewe ni Mwana kulitafuta.........!Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi.
Ujumbe huo ni mfupi tu unasomeka kuwa "tunamhitaji ndugu Humphrey Polepole aje atusaidie kujenga hoja za maridhiano"
Nadhani huo ni ujumbe wa amani na hauna shida yoyote kwahiyo naomba sana wewe afande mkurya fuata kilicho kuleta Iringa, usitubugudhi wapenda amani.
CHADEMA nao wanataka upande wao awepo Tundu Lissu ni sawa pia, ila mimi kadawa CCM nahitaji Polepole awepo.
Ujumbe unaomhusu Polepole ni wa magaidi wanaotaka kuichonganisha CCM na wananchi.Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi.
Ujumbe huo ni mfupi tu unasomeka kuwa "tunamhitaji ndugu Humphrey Polepole aje atusaidie kujenga hoja za maridhiano"
Nadhani huo ni ujumbe wa amani na hauna shida yoyote kwahiyo naomba sana wewe afande mkurya fuata kilicho kuleta Iringa, usitubugudhi wapenda amani.
CHADEMA nao wanataka upande wao awepo Tundu Lissu ni sawa pia, ila mimi kadawa CCM nahitaji Polepole awepo.
Kwahiyo Samia ni gaidi?Ujumbe unaomhusu Polepole ni wa magaidi wanaotaka kuichonganisha CCM na wananchi.