Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

Kama askari polisi wenyewe ni kama vile Kingai, Goodluck, Mahita Jr, J4, waporaji na wauaji kama hawa wa juzi kati kule Mtwara, wale wa Zombe & Co, wale washukiwa wa suala la Hamza na wengine wengi wapiga dili za kihuni, na wale waliofanikisha wizi wa kura mwaka 2019 na 2020 inawapasa wajitokeze kwa wingi, na watubu makosa yao kwa kumaanisha.
 
Hiyo ndio tarehe Spika Ndugai aliitangaza kwa ajili ya kuliombea taifa.

Mungu wa mbinguni awabariki polisi wetu!
 
Mungu ambariki mwalimu mwakasege. Roho wa Mungu akawe juu yake na akanene kwa ujasiri ile siri ya Injili ambayo Ni uweza wa Mungu. Nawaombea polisi wetu katika kuelewa Neno la Mungu kwa Ile Neema ambayo imefunuliwa kwa watu wote inayotufundisha kukataa ubaya na tamaa za kila namna. MUNGU AKAWE PAMOJA NANYI KATIKA KONGAMANO NA KUWATENDEA MEMA.
 
Daaa hao watu wamechafuka coz of kesi ya Mbowe
 
Wanataka kutusahaulisha ya mtwara na urio
 
Polisi na injili wapi kwa wapi tena
Bujibuji Simba Nyanaume ameanza utapeli. Haijaandaliwa na polisi. Ni Fellowship ya askari. Kama ambavyo vyuoni kuna jumuiya za kidini askari wana za kwao. Ni kama jumuiya ya Wakristo UDSM wafanye kongamano wamwalike mwl Mwakasege huwezi sema UD imeandaa kongamano. Ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…