Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

Matrafiki wao wataenda au wao haiwahusu
[emoji23][emoji23][emoji23] wao kidogo wanashiriki dhambi ndogo ndogo, kutokana na imani ya dhehebu mama wao watakwenda kumalizana huko "purgatory" tu na mungu wao. Ila hawa wakina Kingai wao wana jambo lao huko kuzimu kwa mzee Lucifer.
 
Mungu amewajilia watu wake..na ameamua kuingilia kati
Polisi ni lazima waokoke
 
jamani mtuache tujipange mwaka ndiyo kwanza unaanza, polis na mambo ya kanisa wapi na wapi
 
Hii haikubaliki
Mnawapa nguvu kina mzee Mohamed Said na mada zao za mfumo kristo..

Na kwamba RPC Hamza Aziz aliondolewa na mfumo.
 
Back
Top Bottom