Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

Hakika
 
Na sisi askari tufanyaje Bwana tuuridhi ufalme wa Mungu, lidhikeni na mishahara yenu
 
Utapeli lengo lake ni kupata pesa mwisho wa siku.

TuchukulieAl Shabaab wakavamia kongamano hilo na kuua askari wote utasemaje? Utasema waliouawa sio polisi?
 
Utapeli lengo lake ni kupata pesa mwisho wa siku.

TuchukulieAl Shabaab wakavamia kongamano hilo na kuua askari wote utasemaje? Utasema waliouawa sio polisi?
Buji umeanza kuwa kuhani? Yaani umataka kupindisha mambo? Heading inasema Jeshi la Polisi laandaa. Mwandaaji sio Jeshi la Polisi.
Utapeli sio lazima hela.
 
Na kama Zakayo warudishe kwa waathirika, mali walizowadhulumu.
 
Akawape vidonge vyao.... Hata kama mmoja akibadilika itatosha
 
Matrafiki wao wataenda au wao haiwahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…