[emoji23][emoji23][emoji23] wao kidogo wanashiriki dhambi ndogo ndogo, kutokana na imani ya dhehebu mama wao watakwenda kumalizana huko "purgatory" tu na mungu wao. Ila hawa wakina Kingai wao wana jambo lao huko kuzimu kwa mzee Lucifer.Matrafiki wao wataenda au wao haiwahusu
Mungu ni mwema....kila laheri
Yaani agent wa shetani anaandaa kongamano la kumuomba Mungu mnategemea maombi yenu yafike wapi?
Acha wamrudie Mungu. Ni jambo jema sanaPolisi na injili wapi kwa wapi tena
Miya kwa miyaaaaaaYaani agent wa shetani anaandaa kongamano la kumuomba Mungu mnategemea maombi yenu yafike wapi?
Polisi ndio shetani namba moja hapa duniani
Huenda mapepo yakawatokaMungu ni mwema....kila laheri
Sawa kabisa wakatubu