Mnawaumiza wanaotetea haki, amani na rasilimali za nchi YENU/YETU kwa manufaa ya WANAMTANDAO na vizazi vyao/marafiki zao. Upinzani mnaouumiza unawatetea hata nyie.
Mnaambulia laana na makombo, wakati watoto wa wana mtandao wanaendesha Bughatti, Citroen, Feralli, ..... and the like. Bado kidogo wanunue ndege zao binafsi.
Jitafakari.
Msikilize Polepole ana hoja
Mnaambulia laana na makombo, wakati watoto wa wana mtandao wanaendesha Bughatti, Citroen, Feralli, ..... and the like. Bado kidogo wanunue ndege zao binafsi.
Jitafakari.
Msikilize Polepole ana hoja