Jeshi la Polisi Pangani jijini Tanga limewakamata viongozi wa CUF pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF

Jeshi la Polisi Pangani jijini Tanga limewakamata viongozi wa CUF pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama

#hatuwezikurudinyuma.
IMG_20200623_213125_888.jpg
 
Wazungu wanahubiri Good governance ila kila siku wanatoa misaada kwa madictators wa Africa dawa yao kuwapiga wazungu wote wanaoishi Afrika washike adabu zao
 
Mnapotoa taarifa ya mtu/watu kukamatwa, mtoege na na sababu za kukamatwa kwao
 
Mbona nyie mumekamtwa kistaarabu hivyo? Au wanaigiza ili kuneutralize ya kina Zitto na Bwege?
 
JESHI LA POLISI MKOANI TANGA WILAYANI PANGANI LIMEWAKAMATA VIONGOZI WA CUF PIA NI WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA LA CUF. WAMEKAMATWA WAKIWA KATIKA UJENZI WA CHAMA

#HATUWEZIKURUDINYUMA.




View attachment 1487195
Rubbish, nyie ni wasaliti, washirka wa CCM mnamdanganya nani?
Ni hereshaionekane na nyinyi mmekamatwa! Mjue hakuna mjinga hapa, tunasubiri muda tu mtawajibishwa kwa kuwatesa watanzania mkishirikiana na CCM
 
JESHI LA POLISI MKOANI TANGA WILAYANI PANGANI LIMEWAKAMATA VIONGOZI WA CUF PIA NI WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA LA CUF. WAMEKAMATWA WAKIWA KATIKA UJENZI WA CHAMA

#HATUWEZIKURUDINYUMA.




View attachment 1487195
Habari haitoshi
Ujenzi wa chama kwenye mazingira yapi?
Rekebisha kichwa cha habari,Pangani sio jiji
 
Hamjakamatwa nyie acheni kutuzuga...mtakamatwaje wkt nyie ni washirika wa shetwani??
Hilo LA kukamata RAIA wanaofanya kazi halali(siasa) linaharibu taswira ya Taifa LA Tanzania, hatutakiwi kushangilia uonevu kwa yeyote.Sheria zipo,haki za watu zizingatiwe kwa wote.Watesi na adui yetu ni moja,hakuna aliye salama siyo CUF,CDM,TLP,UDP,NCCR,ACT, hata CCM asilia hawapo salama chini ya watawala dhalimu.
Tutumie kura zetu kufanya maamuzi juu ya hatma ya Tanzania tuipendayo.
 
Back
Top Bottom