careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Haaaahaaaa jaman!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha za kukamatwa kwao ziko wpWabongo ni watu wa kushangaza sana! CUF wamekamatwa na polisi na picha zinaonekana lakini watu wanabisha ! lakini kakamatwa Zitto mnataka tumuonee huruma ! KUMBUKENI TUPO WATANZANIA TUSIO KUWA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA.
AFUATIE WA SIMBATuanze na kocha wa yanga
Ndugu yangu kuna sababu za maana basi, utaambiwa unazurura wakati wa kazi, Kwa mfano huyu Lwakatare si mbunge wala diwani sasa huko Tanga kilichompeleka ni nini kama si uzururaji.Mnapotoa taarifa ya mtu/watu kukamatwa, mtoege na na sababu za kukamatwa kwao
Watanzania poleni sana kwa udikteta. Mungu awape akili ya kuweza kumtambua Nduli aliyeko na kumtupilia mbali ili muwe salama.Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama
#hatuwezikurudinyuma.
View attachment 1487195
Kwani Cuf ni chama cha upinzani mpaka wakamatweJeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama
#hatuwezikurudinyuma.
View attachment 1487195
Hiyo ni geresha na danganya toto!Polis wamemgeuka lipumba duh
Kwa katiba, sheria, na vyombo vya dola tulivyonavyo kwa sasa; kura yako haina thamani wala maana. Tujifunze kuishi tu na matatizo haya tuliyonayo.Hilo LA kukamata RAIA wanaofanya kazi halali(siasa) linaharibu taswira ya Taifa LA Tanzania, hatutakiwi kushangilia uonevu kwa yeyote.Sheria zipo,haki za watu zizingatiwe kwa wote.Watesi na adui yetu ni moja,hakuna aliye salama siyo CUF,CDM,TLP,UDP,NCCR,ACT, hata CCM asilia hawapo salama chini ya watawala dhalimu.
Tutumie kura zetu kufanya maamuzi juu ya hatma ya Tanzania tuipendayo.
Pata kitu roho inapenda.Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama
#hatuwezikurudinyuma.
View attachment 1487195