CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Tuanze na kocha wa yangaWazungu wanahubiri Good governance ila kila siku wanatoa misaada kwa madictators wa Africa dawa yao kuwapiga wazungu wote wanaoishi Afrika washike adabu zao
Hata wa Tako1 mimi nimekaa Ulaya najua ubaguzi waoTuanze na kocha wa yanga
Haaaaa leo mnawageuka washirika wenu[emoji3]Huko pangani kulikuwa na magaidi sasa CUF wasilete utani
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Rubbish, nyie ni wasaliti, washirka wa CCM mnamdanganya nani?JESHI LA POLISI MKOANI TANGA WILAYANI PANGANI LIMEWAKAMATA VIONGOZI WA CUF PIA NI WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA LA CUF. WAMEKAMATWA WAKIWA KATIKA UJENZI WA CHAMA
#HATUWEZIKURUDINYUMA.
View attachment 1487195
Habari haitoshiJESHI LA POLISI MKOANI TANGA WILAYANI PANGANI LIMEWAKAMATA VIONGOZI WA CUF PIA NI WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA LA CUF. WAMEKAMATWA WAKIWA KATIKA UJENZI WA CHAMA
#HATUWEZIKURUDINYUMA.
View attachment 1487195
We kweli hamna kitu kabisa...🤩Huko pangani kulikuwa na magaidi sasa CUF wasilete utani
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kiini macho ili wapate kigezo cha kuwafanyia unyama wapinzani wa kweli. CUF tena! Masihara hayoAha!mshirika wenu amewageuka?hyo ndio raha ya kutumika
Hilo LA kukamata RAIA wanaofanya kazi halali(siasa) linaharibu taswira ya Taifa LA Tanzania, hatutakiwi kushangilia uonevu kwa yeyote.Sheria zipo,haki za watu zizingatiwe kwa wote.Watesi na adui yetu ni moja,hakuna aliye salama siyo CUF,CDM,TLP,UDP,NCCR,ACT, hata CCM asilia hawapo salama chini ya watawala dhalimu.Hamjakamatwa nyie acheni kutuzuga...mtakamatwaje wkt nyie ni washirika wa shetwani??