Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA.

IMG_8638.jpg



My take:
Nyani wapya msitu wa zamani
 
Unyama na ukandamizaji wa aina hii huwa haukataliwi kwa maneno tu bali vitendo. Pasipo kujidhatiti kwa vitendo hawa watesi wataendelea na unyama huo.


 
Back
Top Bottom