Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

Mama anaongea vizuri kwenye majukwaa huku nyuma kazi inaendelea
Na ndivyo anavyosema; Kazi iendelee .
Ngoja tuone kama ataongea chochote
 
Sheria mkononi tu ndio njia iliyobaki, Chadema wataendelea kuonewa mpaka mwisho wa dunia huku wakiendelea kujipa matumaini hewa iko siku CCM na polisi wao watabadilika, huu ni ujinga
Andamaneni huku JF lakini mitaani hamuwezi nyinyi wanaume wa JF
 
Ukiambiwa usiandamane wewe unaandamana ni kupigwa tu hakuna namna.
 
Back
Top Bottom