Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Hapa ndipo polisi wanapo feli. Yaani mikoa yote waliko pita hamna polisi?Polisi pambaneni na majambazi. CHADEMA watapambana na wanasiasa wenzao kina Shaka na Chongolo.View attachment 1801320
Polisi ukiwapigia simu kuna ujambazi sehemu gari hazina mafuta. Ila CHADEMA wakija gari zote zinajazwa mafuta.Hapa ndipo polisi wanapo feli. Yaani mikoa yote waliko pita hamna polisi?
Huu ni upuuzi.
Mkuu wa mkoa Anafikili bado yupo CCM mpya ya kina Polepole na BashiruHapa ndipo polisi wanapo feli. Yaani mikoa yote waliko pita hamna polisi?
Huu ni upuuzi.
IGP ameona njia salama ya kulinda mkate wake baada ya majambazi kumshinda ni kuwapiga CHADEMA wasio na silaha, sio wahalifu na wala hawajafanya vurugu zozote.Kazi imeanza turudi kule kule Misri hakuna namna
Twende hivyo hivyo tutafika pazuri snIGP ameona njia salama ya kulinda mkate wake baada ya majambazi kumshinda ni kuwapiga CHADEMA wasio na silaha, sio wahalifu na wala hawajafanya vurugu zozote.
Hilo swali police bado hawajalibuTaarifa haijitoshelezi, Polisi wamevamia Chadema kwa sababu gani?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
HII NI PICHA YA UCHAGUZI WA 2015 UNATAKA KUTWAMBIA NINI KWA MFANO?Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za Chadema.
View attachment 1801315
My take:
Nyani wapya msitu wa zamani