Semahengere JF-Expert Member Joined Nov 29, 2020 Posts 1,186 Reaction score 1,966 May 30, 2021 #61 Mama anaongea vizuri kwenye majukwaa huku nyuma kazi inaendelea Na ndivyo anavyosema; Kazi iendelee . Ngoja tuone kama ataongea chochote
Mama anaongea vizuri kwenye majukwaa huku nyuma kazi inaendelea Na ndivyo anavyosema; Kazi iendelee . Ngoja tuone kama ataongea chochote
Gerald .M Magembe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,496 Reaction score 1,800 May 30, 2021 #62 Babati said: Kazi imeanza turudi kule kule Misri hakuna namna Click to expand... Mama haulizi hapa ni Sukuma Gang tuu. Tuendelee kumuunga mkono mama. Yatakwisha haya.
Babati said: Kazi imeanza turudi kule kule Misri hakuna namna Click to expand... Mama haulizi hapa ni Sukuma Gang tuu. Tuendelee kumuunga mkono mama. Yatakwisha haya.
M magu2016 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 8,027 Reaction score 7,115 May 30, 2021 #63 denooJ said: Sheria mkononi tu ndio njia iliyobaki, Chadema wataendelea kuonewa mpaka mwisho wa dunia huku wakiendelea kujipa matumaini hewa iko siku CCM na polisi wao watabadilika, huu ni ujinga Click to expand... Andamaneni huku JF lakini mitaani hamuwezi nyinyi wanaume wa JF
denooJ said: Sheria mkononi tu ndio njia iliyobaki, Chadema wataendelea kuonewa mpaka mwisho wa dunia huku wakiendelea kujipa matumaini hewa iko siku CCM na polisi wao watabadilika, huu ni ujinga Click to expand... Andamaneni huku JF lakini mitaani hamuwezi nyinyi wanaume wa JF
M magu2016 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 8,027 Reaction score 7,115 May 30, 2021 #64 Gerald .M Magembe said: Mama haulizi hapa ni Sukuma Gang tuu. Tuendelee kumuunga mkono mama. Yatakwisha haya. Click to expand... Mtanyooka tu mkuu! Kazi Inaendelea!
Gerald .M Magembe said: Mama haulizi hapa ni Sukuma Gang tuu. Tuendelee kumuunga mkono mama. Yatakwisha haya. Click to expand... Mtanyooka tu mkuu! Kazi Inaendelea!
Gerald .M Magembe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,496 Reaction score 1,800 May 30, 2021 #65 THE LOST said: Chadema wanamchekea mama! Wekeni msimamo kuwa hamuitambui serikali ya mama kwa maana imetokana na haramu. Click to expand... Bado muda na sio yeye. Wanatumia tuu.
THE LOST said: Chadema wanamchekea mama! Wekeni msimamo kuwa hamuitambui serikali ya mama kwa maana imetokana na haramu. Click to expand... Bado muda na sio yeye. Wanatumia tuu.
K KooZito JF-Expert Member Joined Dec 14, 2020 Posts 397 Reaction score 1,377 May 30, 2021 #66 Ukiambiwa usiandamane wewe unaandamana ni kupigwa tu hakuna namna.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 May 30, 2021 #67 kolola said: Wasifiaji awamu ya 6 poleni Click to expand... Tetetete