Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,706
Sote tumeona uzalendo na utendaji KAZI mzuri wa jeshi letu la Polisi, tumeona kujituma kwenu katika kulinda na kutetea Mali zetu zisiibwe au kuharibiwa na majangiri kwa kivuri Cha maandamano.
Hamkuruhusu majangiri na vibaka waendelee kuchoma moto na kuharibu maduka yetu, popote mlipo mlipigania Mali zetu.
Hakika mataifa ya inje yameona utendaji KAZI wenu. Tunaomba muendelee na kazi yenu ya kizalendo ya kutomuonea haya mvuruga amani/, mharifu yyte.
Mungu wabariki Polisi wetu