Baada ya yote haya Bado mnajiona mpo sahihi mna nguvu?🙄. Hata hamshtuki, hamguswi, mioyo imejaa ujasiri wakiburi?. Naomba mjiulize swali Moja, je Yale mlofanya ni Kwa ajili ya kulinda taifa au kulinda vyeo na tamaa za madaraka. Majibu mnayo nyinyi ila wote tunaishi Dunia yenye Sheria Moja na hakuna aliejuu ya Sheria cyo za makaratasi mnazotawazia Kila siku ni eye fo eye, yeyote auaye Kwa upanga atakufakwa upanga that is law hamtokwepa wala kujificha itawala waonevu na viZazi vyao
Jibu lako ni kuwa ASKARI pamoja na JESHI WALIFANYA KILA kinachowezekana KULINDA NCHI YETU
Yes tunakubali kabisa kuwa kuna wanyonge wasio husika na balaa hili wamepoteza maisha
Hata mimi binafsi nimepoteza watu wangu ambao nawaita ndugu kabisa.
Hili sio kosa la serikali hata kidogo .
Wale majambazi walianza kuvunja maduka ya raia na kuua ASKARI na kutaka KUCHOMA Station yetu ya UMEME WA NCHI. na miundo mbinu ya maji.
Wewe kwa fikra zako wangefanikiwa kuchoma kituo cha umeme leo ungekuwa hapa kuwasifia?
Leo Tanzania ingerudi nyuma miaka 100.
Serikali imejaa wapigaji.
Kila mmoja anamshinda mwengine kwa wizi wa mali ya ummah. Hicho kituo cha umeme wangejenga lini?
Usitazame upande mmoja tu. Walio sababisha wanyonge kuuawa ni HAO MAJAMBAZI wenye tama a ya kuona Tanzania inakufa kabisa.
Na kesho wakijaribu tena na wamalizwe kabisa.
Hatuwezi sisi wote kurudishwa enzi za koroboi na mafuta ya vibaba na kuchota maji mtoni sababu eti hawamtaki Rais.
Waende shule wakasome kisha na wao wagombee uongozi.
Hakuna short cut kwenye maisha.
Km wewe huna hela pambana kadri uwezevyo kufanya kazi.
Hakuna Rais atakufanya uwe tajiri. Hizo ni ndoto za wendawazimu.