JF kuna msemo kwamba ukiona uelewi ujue mada haikuhusu.Umeandika nini sasa boss mbona hata sikuelewi?
Okay bossJF kuna msemo kwamba ukiona uelewi ujue mada haikuhusu.
Huwezi kuelewa kila kitu, waachie wahusika wa mada hii.
Labda kuna kilevi umetumiaUmeandika nini sasa boss mbona hata sikuelewi?
Kama Ni Mtoto Wako Halafu Unammenyea Yai Ale Analia Si Unamzaba Kibao Ili Abugie Uji Vizuri πYaani siku hizi jeshi la polisi linadharauliwa sana. Wakamhoji mtu anayelilia kunyweshwa uji wa baridi kisa kapewa wa moto? IGP Siro kuna mahali mnakosea. Haiwezekani mdharauliwe hivi.
Labda kuna kilevi umetumia
Anadhihilisha kuwa yeye ndio muuaji na mpoteza na mtekaji watu waliopotea hadi leo. Na wale walionekana sad mbwa koko kama huyo anamsunctionkamanda wapolisi wa kanda wakati hanacheo chochote kweli ni mpumbafu sanaKufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita kumuomba kufanya hivyo iwapo watahitaji msaada huo.
"Ningekuwa ni Jeshini ninazo medali za kivita ni Askari mmoja aliyepo back bencher mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote, RC, Mambosasa mkihitaji uzoefu wangu ktk mapambano ya kumlinda MagufuliJP hata kama saa 9 usiku nitanyanyuka" -
@makonda_paul MakondaKukabidhiOfisi
Umeandika nini sasa boss mbona hata sikuelewi?
Labda kama ndugu zake wamelala. Hiyo nafasi hapati.Kama Ni Mtoto Wako Halafu Unammenyea Yai Ale Analia Si Unamzaba Kibao Ili Abugie Uji Vizuri π
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Umelogwa?Kufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita kumuomba kufanya hivyo iwapo watahitaji msaada huo.
"Ningekuwa ni Jeshini ninazo medali za kivita ni Askari mmoja aliyepo back bencher mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote, RC, Mambosasa mkihitaji uzoefu wangu ktk mapambano ya kumlinda MagufuliJP hata kama saa 9 usiku nitanyanyuka" -
@makonda_paul MakondaKukabidhiOfisi