Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,485
- 4,014
Hili la great thinkers pole zakeJF kuna msemo kwamba ukiona uelewi ujue mada haikuhusu.
Huwezi kuelewa kila kitu, waachie wahusika wa mada hii.
Hili la great thinkers pole zakeJF kuna msemo kwamba ukiona uelewi ujue mada haikuhusu.
Huwezi kuelewa kila kitu, waachie wahusika wa mada hii.
Kejeli ya nini tena?? Wewe kila kitu huwa unakielewa!?Una IQ ya kuku...
Kejeli ya nini tena?? Wewe kila kitu huwa unakielewa!?
Saa tisa usiku wote lile kalio lake kubwa anapeleka wapi? YAANI LINAJIPENDEKEZA MPAKA LINAHARIBU...tangu wajue rais wetu anapenda kusikia anatukuzwa basi imekuwa kero!!! KhaaaKufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita kumuomba kufanya hivyo iwapo watahitaji msaada huo.
"Ningekuwa ni Jeshini ninazo medali za kivita ni Askari mmoja aliyepo back bencher mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote, RC, Mambosasa mkihitaji uzoefu wangu ktk mapambano ya kumlinda MagufuliJP hata kama saa 9 usiku nitanyanyuka" -
@makonda_paul MakondaKukabidhiOfisi
Anajua atakavyomlinda.😂😂😂😂😂😂
Kweli ni saidie!Una IQ ya kuku...
hii nukuu mujarabu kabisa 😂 😂 😂JF kuna msemo kwamba ukiona uelewi ujue mada haikuhusu.
Mchawi sana huyu dogoAnawatishia watu kwamba yeye si kigogo tu, bali pia ni kigagu.
Kweli ni saidie!
Njoo unikate nakusubiri mkuu!Kuku kusaidiwa kwake ni kakatwa shingo tu...
Njoo unikate nakusubiri mkuu!
Alama "......" zinayo maana na hasa kama ulimsikiliza Paul Makonda akikabidhi ofisi.Umeandika nini sasa boss mbona hata sikuelewi?
Mada imekuzidi ufahamuUmeandika nini sasa boss mbona hata sikuelewi?
Huyu Bashite tuache kumjdili kwa kuwa tunampa umaarufu. Tunajua kuwa na kiherehere na media, tumuache tuKufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita kumuomba kufanya hivyo iwapo watahitaji msaada huo.
"Ningekuwa ni Jeshini ninazo medali za kivita ni Askari mmoja aliyepo back bencher mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote, RC, Mambosasa mkihitaji uzoefu wangu ktk mapambano ya kumlinda MagufuliJP hata kama saa 9 usiku nitanyanyuka" -
@makonda_paul MakondaKukabidhiOfisi