Jeshi la polisi Tanzania, Makonda anapaswa kuhojiwa!!

Itakuwa ulinzi wa nguvu za giza mambo ambayo huwezi kuyapeleka polisi au mahakamani. Serikali haiyaamini
 
Sasa yy na musiba nani zaidi kwenye kumlinda rais maana wote wanategemea ndumba......

Hizo ndumba mkimchanganyia sn mkuu mtampoteza haraka sn mkose teuzi za mwisho mwisho miezi hii mitatu....
 
Makonda amechanganyikiwa ana ongeza spidi ya kusifia ili apate cheo.
 
Kejeli ya nini tena?? Wewe kila kitu huwa unakielewa!?

Vipo vitu ambavyo usipovielewa kwa akili za kawaida basi hata kuku atakuwa na afadhali katika IQ yake...
Wewe umeelewa nilichokiandika kuwa ni kejeli, mwingine ataelewa tofauti na mimi nilichomaanisha ni tofauti na ulivyoelewa!
 
Saa tisa usiku wote lile kalio lake kubwa anapeleka wapi? YAANI LINAJIPENDEKEZA MPAKA LINAHARIBU...tangu wajue rais wetu anapenda kusikia anatukuzwa basi imekuwa kero!!! Khaaa
 
Ila hawa watu wawili( Bashite na Rais) tunatakiwa tuwachunguze maana khaaa! HAIWEZEKANI UKAVAMIE USIKU CLOUDS NA WANAJESHII HALAFU WAZIRI AUNDE TUME AISHIE KUFUKUZWA KAZI.
Anajua atakavyomlinda.😂😂😂😂😂😂
 
Jamaa anaweweseka kinoma, utafikiri yeye ndo wa kwanza kutumbuliwa...ile kodi ya makontena kule bandarini alishalipa, au anasubiri kunyea debe..
 
Huyu Bashite tuache kumjdili kwa kuwa tunampa umaarufu. Tunajua kuwa na kiherehere na media, tumuache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…