Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Viongozi wa dini wangeweza kufikisha ujumbe kupitia vyombo vyao vya habari pamoja na wakati wa misa kama wangeshirikishwa kwanza.Mhhh aya bana wenye inji yao wamesema
Sherehekea uone.Nakuona ulivyobinua kichuguu kama nyigu ukiwa umesanua vidole kama ngadu, we lete ujinga tukusome jicho
Sio mimi wee dada wee. Niombe radhi tafadhaliNi yeye mwenyewe
Hii kuanzia lini mkuu?Halafu wakiambiwa wa tz ni watu wasio na furaha duniani wanakataa
Jiwe ndio nani?Pasaka ya mwaka huu hakuna kuimba haleluya kisa kafa jiwe...
Sidhani kama ni lazima kuomboleza lakini ni jambo la busara kufanya hivyoKwahiyo tunalazimishwa kuomboleza[emoji848]
Sijui...Jiwe ndio nani?
Hii ni hatareee..!!Nasema imani ni kuomboleza kifo cha mtakatifu meko, mambo ya yesu hatuyajui.
Jaribu tukuvunje taya
Kaka upo?Nasema imani ni kuomboleza kifo cha mtakatifu meko, mambo ya yesu hatuyajui.
Jaribu tukuvunje taya