Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

Hapana mkuu, kila uzi wako ni lazima niufungue so nimekua na udadis huu kwa muda mrefu kidogo tangu ulipoanza kumtaja. Leo nikajikuta nalazimika kumfuatilia bio yake, then nikauliza ili kujua zaidi.
Ila kwenye comment yako umeonyesha ni wa kike, she must mean something big.
Kukudhihirishia kuwa huwa nakufuatilia, siku hizi umeacha tabia ya kuamkia Wakubwa zako😀😀😀
😁😁
 
Ila siku hizi ukristo unashambuliwa sana kila leo matukio mara makanisa yashambuliwe, mara magaidi wajilipue makanisani, mara chuki dhidi ya ukristo imezidi now hivi kwanini wakristo tusirudi kwenye din kikamilifu tu maana mambo ni mengi humu duniani yaani ukristo unashambuliwa sana yaani so sad, kama wewe ni mkristo mwenzangu nakushauri tu simama kidete hari ni mbaya sana dunia ya leo chuki kubwaa sana kwa ukristo pekueni mujionee
 
kama wewe ni mkristo mwenzangu nakushauri tu simama kidete hari ni mbaya sana dunia ya leo chuki kubwaa sana kwa ukristo pekueni mujionee
Huu ni ujumbe wa kichochezi na kamwe siwezi kukuunga mkono...
 
Ila siku hizi ukristo unashambuliwa sana kila leo matukio mara makanisa yashambuliwe, mara magaidi wajilipue makanisani, mara chuki dhidi ya ukristo imezidi now hivi kwanini wakristo tusirudi kwenye din kikamilifu tu maana mambo ni mengi humu duniani yaani ukristo unashambuliwa sana yaani so sad
Sijawahi kusikia matukio kama haya ya magaidi kulipua makanisa hapa Tanzania. Huu ni uzushi wa kiwango cha juu sana mkuu. Kuwa mzalendo, acha uchochezi.
 
Naongelea global ndugu fanya utafiti wako binafsi
Labda huko nchi zingine lakini sio hapa Tanzania kwetu mkuu. Huko middle east kama Iraq pamoja south eastern asia. Tanzania ipo salama sana.
 
Hili suala linaweza kuonekana dogo ila ni kubwa na zito linaweza hata mchafulia Mh rais jina kwa kuonekana kuwa ni mdini kama utani.
 
Kilichoangukia ratiba ni maombolezo ya kifo cha rais, sio Pasaka kuangukia maombolezo. Pasaka itasheherekewa, kwani ukristu unaamini kifo kinashindwa na Ufufuo, ikiwamo wa rais, na daima hamna Shamra shamra za kupiga vigelegele. Ni watu kupika, kualikana, kula na kunywa majumbani mwao. Nyimbo za dini zaweza kuburudisha Ufufuo wa Kristo!
 
Kati ya maombolezo ya magufuli na pasaka ambayo ni siku ya kufufuka mwokozi wa ulimwengu kwa imani ya kikrisito akiwemo na yeye magufuli, tukio lipi linatakiwa kupewa kipaumbele.....acheni kukurupuka ili na nyie mwonekane mpo, tumieni akili...
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom