Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
There is no way I can maintain two accounts on the same platform. Niombe radhi mkuu.Fortunate ni akaunti yake ya ziada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There is no way I can maintain two accounts on the same platform. Niombe radhi mkuu.Fortunate ni akaunti yake ya ziada
Samahani mkuu! Naomba radhi kwa kupotosha.There is no way I can maintain two accounts on the same platform. Niombe radhi mkuu.
Sawa mkuu, one loveSamahani mkuu! Naomba radhi kwa kupotosha.
Hili katazo ni maalumu kwa wakristo wa kule chato maana kule ndio finishing ilikofanyika
😁😁Hapana mkuu, kila uzi wako ni lazima niufungue so nimekua na udadis huu kwa muda mrefu kidogo tangu ulipoanza kumtaja. Leo nikajikuta nalazimika kumfuatilia bio yake, then nikauliza ili kujua zaidi.
Ila kwenye comment yako umeonyesha ni wa kike, she must mean something big.
Kukudhihirishia kuwa huwa nakufuatilia, siku hizi umeacha tabia ya kuamkia Wakubwa zako😀😀😀
Mimi ninawashauri jambo la maana katika kujenga taswira yenu njema, nyie mnaleta vitisho. Sisi waafrika sijui tumerogwa?sasa wewe sheherekea tukuvunje miguu
😁😁😁😁😁😁
Huu ni ujumbe wa kichochezi na kamwe siwezi kukuunga mkono...kama wewe ni mkristo mwenzangu nakushauri tu simama kidete hari ni mbaya sana dunia ya leo chuki kubwaa sana kwa ukristo pekueni mujionee
Sijawahi kusikia matukio kama haya ya magaidi kulipua makanisa hapa Tanzania. Huu ni uzushi wa kiwango cha juu sana mkuu. Kuwa mzalendo, acha uchochezi.Ila siku hizi ukristo unashambuliwa sana kila leo matukio mara makanisa yashambuliwe, mara magaidi wajilipue makanisani, mara chuki dhidi ya ukristo imezidi now hivi kwanini wakristo tusirudi kwenye din kikamilifu tu maana mambo ni mengi humu duniani yaani ukristo unashambuliwa sana yaani so sad
Naongelea global ndugu fanya utafiti wako binafsiSijawahi kusikia matukio kama haya ya magaidi kulipua makanisa hapa Tanzania. Huu ni uzushi wa kiwango cha juu sana mkuu. Kuwa mzalendo, acha uchochezi.
Labda huko nchi zingine lakini sio hapa Tanzania kwetu mkuu. Huko middle east kama Iraq pamoja south eastern asia. Tanzania ipo salama sana.Naongelea global ndugu fanya utafiti wako binafsi
Nakuona ulivyobinua kichuguu kama nyigu ukiwa umesanua vidole kama ngadu, we lete ujinga tukusome jichoHatujashirikisha mtu. Fanya unachotaka tukuvunje hizo kuni.
Viongozi wa dini ya kikristo wangewasaidia sana katika hiliInasikitisha sana...