lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana.
Shida ya jeshi la polisi ni latina.
Shida ni CCM,
Shida ni serikali iliyopo madarakani.
Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika.
Latina yao ilipobadilika na matendo yao yakabadilika. Chama kilichokua kikitawala kilipoondolewa na matendo ya kikatili ya polisi dhidi ya watu weusi yakabadilika.
Polisi ni kama bunduki tu,bunduki hawezi kujipiga yenyewe hata iwe na mnyororo wa risasi. Bunduki inapigwa na mtu kumlenga mtu mwingine.
WATANZANIA WENZANGU polisi wanatumwa tu na waendesha nchi. Kama ni Manisha magumu polisi wanayaishi zaidi kuliko sisi.
Ni ngumu Sana kutetea uongo ndugu zangu. Maagizo kutoka juu ni ngumu Sana kupingana nayo,ukiweza kuyapinga uwe tayari kwa lolote lile.
Kutoa ushahidi kweli na ulionyooka haihitaji kuwa na PHD