Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote, liko vizuri sana

Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote, liko vizuri sana

Lakini siku akitumwa kumdhuru hata MAMA yake aliyemzaa na akatii hapo tatizo ni yule aliyetumwa.
Kwa kweli hata kama ni kujitoa fahamu nao wamezidi.
Akiko ya kuzaliwa huamua haki au mambo kama hayo, common sense.
 
Police ni kundi fulani ambalo shule walipata zero hivyo akili zao zipo kwenye matumbo yao kufikili critically ni ngumu mno kutokana na uwezo mdogo
 
Si rahisi kusema chakula kinanuka wakati uko mezani, ukitolewa mezani utakula wapi. Mkiwa mezani ni rahisi wote mseme chakula kinanukia na mnampigia makofi mpishi.
Kwanza "Table manner" hairuhusu kuongea wakati tunakula. Muda mwingi wanaokula hukaa kimya labda pale inapobidi sana ndipo huongea. Huwezi kuongea na chakula mdomoni.
 
Back
Top Bottom