Unajua hata ndegevita,melivita za usa,russia na nchi nyingine pia hupotea?
Unajua kuwa kwa bahati mbaya jeshi la nchi moja au majeshi rafiki hushambuliana kwa bahati mbaya?
Si rahisi kusema chakula kinanuka wakati uko mezani, ukitolewa mezani utakula wapi. Mkiwa mezani ni rahisi wote mseme chakula kinanukia na mnampigia makofi mpishi.
Kwanza "Table manner" hairuhusu kuongea wakati tunakula. Muda mwingi wanaokula hukaa kimya labda pale inapobidi sana ndipo huongea. Huwezi kuongea na chakula mdomoni.