Daah...! Walivyosema Nifar tu akili ikanipeleka kwako. Nikaomba isiwe wewe.
 
Lengo la kuchanga kusaidiana ni zuri ila wengi wao wanatumia kama fursa ya kupiga pesa.

Kama ishu ni wafanya biashara kuwasapoti wenzao waliofikwa na majanga nadhani huwa haipo hivyo kama wafanyavyo wengi tukizingatia wana uongozi wao unaojua miongozo ipi ifuatwe pindi yakitokea matatizo kama haya.
 
Watekaji wa Bonge Tarimo vipii ?
 
afadhali bhana umekoment mm nilishawaza vingine kabisa Nifah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…