NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,952
- 1,181
Nchi hii isiyo na utawala wa haki asijaribu hii kitu atarud matopeni na biashara zake zinadorora kabisaAnachangisha fedha za kwa ajili ya nani naye nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii isiyo na utawala wa haki asijaribu hii kitu atarud matopeni na biashara zake zinadorora kabisaAnachangisha fedha za kwa ajili ya nani naye nani
Bila ya serikali kuingilia kati hii nchi kuna wajinga wengi sana ndio maana hata manabii nao wanaongezeka kila kukichaWabongo wepesi sana binafsi siwezi changa changa tu kisa mtu ana changsha
Daah...! Walivyosema Nifar tu akili ikanipeleka kwako. Nikaomba isiwe wewe.Viherehere kwenye mitandao sio kitu kizuri.
Hata hivyo hatua zimechelewa kuchukuliwa. Sijui jeshi letu ni wazee sana wamejazana huko hadi wanashindwa ku ‘catch up’ na mambo ya kwenye mitandao upesi?
Mtu ameshakusanya mamilioni ya pesa tokea jana na alitangaza kila hatua wao walikuwa wapi?
Wapi kwenye sheria kunasema agizo la Waziri Mkuu ni hukumu?We unaambiwa PM katoa maagizo unaleta mambo ya wakili.
Kamsaidie Mkuu kuweka wakiliAkiweka wakili,kesi inaisha mapeeemaaa....!
Kafurahi balaa nipo nae hapa tunakula ubwabwa mchana upite.Kwa hiyo kauli ya PM Resty atakuwa amefurahi sana...
PM hana uwezo wa kutoa decreeWe unaambiwa PM katoa maagizo unaleta mambo ya wakili.
Acha kujidanganya. Sheria ikifuatwa tayari huyo binti ana kesi ya utakatishaji pesa na kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu. Ikipita hii asirudie tena huo upuuzi.Akiweka wakili,kesi inaisha mapeeemaaa....!
Naona alivyo changisha tuu Resty kainuka juu vibaya mno..... sijui wana ttzo ganiKwa hiyo kauli ya PM Resty atakuwa amefurahi sana...
Watekaji wa Bonge Tarimo vipii ?Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo.
Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu Niffer atafutwe ili aeleze nani ambaye alimpa mamlaka ya kuchangisha fedha kufuatia tukio hilo kwa sababu Serikali ina utaribu wake katika mafaa kama haya.
Pia, Soma: Maafa Kariakoo: Usichangishe fedha tumia akaunti ya Serikali
Aidha baada ya agizo hilo majibu yakatolewa eneo la Kariakoo wakati Waziri Mkuu anazungumza kwamba Mfanyabiashara Niffer ameshapatikana.
Analeta visheria vyake 🤣🤣 hajui kama amri ya PM inavunja miiko yote . Hii ni Tanzania sio MarekaniWe unaambiwa PM katoa maagizo unaleta mambo ya wakili.
Mwambie awe mtu mzima mwenye akili...Kafurahi balaa nipo nae hapa tunakula ubwabwa mchana upite.
Utamuweza kimashambulizi?Mwambie awe mtu mzima mwenye akili...
Siyo mtu mzima hovyo
Yule Shangazi anaonesha wivu wa wazi kabisa kwa yule mtoto...Naona alivyo changisha tuu Resty kainuka juu vibaya mno..... sijui wana ttzo gani
Hapo mwanzo mbona Kuna siku Niffer alikuwa balozi wa la vista organic za huyo Resty ......
Haniwezi kwa lolote..Utamuweza kimashambulizi?
afadhali bhana umekoment mm nilishawaza vingine kabisa NifahViherehere kwenye mitandao sio kitu kizuri.
Hata hivyo hatua zimechelewa kuchukuliwa. Sijui jeshi letu ni wazee sana wamejazana huko hadi wanashindwa ku ‘catch up’ na mambo ya kwenye mitandao upesi?
Mtu ameshakusanya mamilioni ya pesa tokea jana na alitangaza kila hatua wao walikuwa wapi?